Haya maisha haya! Acheni tu

Niwatoe wasiwasi Ushimen na wengine. Kuna baadhi ya vipengele sijaviweka wazi kwa sababu ya privacy. Alafu sometime hii simu Kuna ndugu huwa wanaitumia. Ndo maana ile post ya kufeli kidato Cha nne imeandikwa na binti (rejea uisome vizuri).

Kama binadamu ukiona hivo lazima upate wasiwasi lkn Sina Nia mbaya.
Hata hivo sijaomba hela Kama hela nimeomba connection. Kwa lolote lile tutaandikishana kisheria na wadhamini watakuepo.
Sawa mkuu, binafsi nimekuelewa
Haya basi, lete namba yako kule PM
 
Tafuta sehem nzur fungua kibanda cha fast food weka na juic nzur maeneo ya chuo au penye mkusanyiko mkubwa

Tumia hiyo fursa kupata ada na connection ya wanafunz wenzako kuku ungisha kweny biashara yako

Naamin ukipambana utapata mtaji wa kuanza nao
Siyo rahisi hivyo mdogo wangu,it seems wewe bado upo chuo
 
Niwatoe wasiwasi Ushimen na wengine. Kuna baadhi ya vipengele sijaviweka wazi kwa sababu ya privacy. Alafu sometime hii simu Kuna ndugu huwa wanaitumia. Ndo maana ile post ya kufeli kidato Cha nne imeandikwa na binti (rejea uisome vizuri).

Kama binadamu ukiona hivo lazima upate wasiwasi lkn Sina Nia mbaya.
Hata hivo sijaomba hela Kama hela nimeomba connection. Kwa lolote lile tutaandikishana kisheria na wadhamini watakuepo.
Tujitahidi kutumia hizi ID katika mazingira yasiyotia shaka!!!
 
Hapo niwaka 2014 uliandika uzi kwamba upo kidato cha tano na haujawahi kufanya mapenzi.

Then 2017, ukaandika uzi kwamba upo chuo mwaka wa kwanza.

Kisha 2017, ukaandika tena kwamba umefeli kidato cha nne na ukahitaji usaidiwe usifeli maisha.

Leo 2020 umekuja na uzi kwamba mwaka juzi (2018) ulichaguliwa kujiunga na chuo cha Mwenge huko Moshi.

Sasa nimejaribu kutafakari na nikajikuta ninapata mashaka kidogo mkuu, ebu nieleweshe pengine nisije nikawa ninakuwazia tofauti na nikachuma dhambi bure.View attachment 1510110View attachment 1510114View attachment 1510117View attachment 1510128
kamati ya Roho mbaya Kama kawaida haijawai kumuacha mtu salama usiombe ikuvalie njumu utaumbuka
 
Njoo pm
Niwatoe wasiwasi Ushimen na wengine. Kuna baadhi ya vipengele sijaviweka wazi kwa sababu ya privacy. Alafu sometime hii simu Kuna ndugu huwa wanaitumia. Ndo maana ile post ya kufeli kidato Cha nne imeandikwa na binti (rejea uisome vizuri).

Kama binadamu ukiona hivo lazima upate wasiwasi lkn Sina Nia mbaya.
Hata hivo sijaomba hela Kama hela nimeomba connection. Kwa lolote lile tutaandikishana kisheria na wadhamini watakuepo.
 
Mrejesho.

Baada ya kupost uzi huu Kuna watu walinifuata PM kwa Nia ya kunisaidia.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wote kwa moyo wenu na nimetambua kuwa duniani bado Kuna watu wema ambao wanaweza kukusaidia hata Kama hawakujui.

Shukrani za kipekee zimwendee mkuu Ushimen ambaye alinitafuta na tukakutana akanipa mchongo.

Ingawa bado mchakato unaendelea, ila Kuna matumaini ya kufanikiwa.
Maneno machache ya kumwelezea ni kwamba Ushimen ni msamaria mwema na anayependa kuona Kila mtu anapata anachotamani. Nashukuru sanA wakuu kwa kunipa matumaini pindi naelekea kukata tamaa. Mungu awabariki nyote
 
Back
Top Bottom