HAYA MAGARI LAND ROVER DEFENDER BADO YANAFANYA KAZI JAMANi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
1499568_457222077717845_1928606223_n.jpg



"Kila siku zinakata kona tairi za mbele tu, na sie Leo tunakata kona", zilisikika zikilalamika tairi za nyuma za gari hili la Fanya Fujo Uone...(FFU).......:teeth::teeth::A S tongue:
 
MziziMkavu, Bado zipo sana mkuu tena za Rangi hiyo na Nyeupe . Zinatumika sana, Tukutafutie nini Mkuu ??????
 
Last edited by a moderator:
Ni Kweli MziziMkavu, Ukifanya Fujo TU Hasa ikihusianishwa na vyama pinzani, zitajaa hizo mpaka mshangae
 
Last edited by a moderator:
hizo za Police zipo aina mbili zile za Kiengereza na na nyengine za kwengine, za kiengereza ni madhubuti na ukute TDI

Yes, ila kwa sasa, hao Fungua Fanta Unywe (FFU) wanatumia zaidi Toyota Landcruiser. Zipo nyingi za kutosha.
 
Back
Top Bottom