HAYA MAGARI LAND ROVER DEFENDER BADO YANAFANYA KAZI JAMANi?

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,449
2,000"Kila siku zinakata kona tairi za mbele tu, na sie Leo tunakata kona", zilisikika zikilalamika tairi za nyuma za gari hili la Fanya Fujo Uone...(FFU).......:teeth::teeth::A S tongue:
 

mgeni10

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,111
1,195
MziziMkavu, Bado zipo sana mkuu tena za Rangi hiyo na Nyeupe . Zinatumika sana, Tukutafutie nini Mkuu ??????
 
Last edited by a moderator:

mgeni10

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,111
1,195
Ni Kweli MziziMkavu, Ukifanya Fujo TU Hasa ikihusianishwa na vyama pinzani, zitajaa hizo mpaka mshangae
 
Last edited by a moderator:

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
12,421
2,000
hizo za Police zipo aina mbili zile za Kiengereza na na nyengine za kwengine, za kiengereza ni madhubuti na ukute TDI
Yes, ila kwa sasa, hao Fungua Fanta Unywe (FFU) wanatumia zaidi Toyota Landcruiser. Zipo nyingi za kutosha.
 
Top Bottom