Haya mafuu dar hayaponi, nadhani moshi wa majenereta!

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
488
Nadhani watu wengi huko dar lazima mtakuwa na mafua yasiyopona, maana nilipita huko nuna majenge niliyaona zamani yakuwa meupe, kwa sasa yamekuwa meuusi ti, nikambiwa jenereta hizo, sada binadamu nakuwaje?
 
polepole muheshimiwa.........tulia, vuta pumzi.....in out....in out......then tupia uzi wako kwa utulivu
 
Yaani ni tabu tupu Generetor + Dala dala =............................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom