Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Kwamba kwa ukanda wa Afrika Mashariki, 'shule' ilianzia Kenya, ikaja mikoa ya Kaskazini (Magharibi na Mashariki zake) mwa TZ?
Ndiyo maana leo hii watawala waongo-waongo hawafanikiwi kudumu katika mikoa ya Kaskazini? Ukidanganya wananchi tu, next time unapigwa chini.
Kwamba mikoa ya kusini na pwani wao walikuwa watu wa starehe na ngoma tu? Ndiyo maana leo hii mikoa inayoongoza kwa watoto wa kike kupata mimba wakiwa shule ni ile mikoa ya kusini kuliko kaskazini?
haya madai yana ukweli wowote?
nauliza hapa jf. H.O.G.T.