Haya maandishi ya kwenye nguo sasa yamepitiliza.

Jamaa mmoja tena yuko smart kweli na amechokea pale kongo kariakoo shati lake limeandikwa PYSKATRIK WARD G2 PHILADELFIA HOSPITAL PATIENT NO O58. nilitaka kukimbia kwa sababu alibeba kama machuma ya spana hv.
 
hiyo am a pornstar mbona ya ukweli,mademu watamkimbilia kwa sana...nikiipata hata mimi naivaa
 
hivyo inakuaje mtu mzima unavaa tshirt kifuani ina maandishi makubwa kabisa ya IM PORN STAR ....Dah mi sion poa kabisa.

unashangaa, kuna jamaa msomi kabisa alivaa tsht am play boy ina nembo ya wale jamaa wa ile site ya porn, bosi akampa ban asiivae tena ofsin
 
attachment.php


kwa hiyi t-shirt yako imeandikwa hivyo?!.
 
Jamii ya kitanzania inapaswa kuliangazia hil kwasababu aliyevaa bango la matus ni sawa anawasilisha kwa jamii! ANATUKANA
 
Mie nilimuona mdada kavaa t-shirt yenye maneno haya: I MAY NOT BE PERFECT BUT SOME OF MY PARTS ARE EXCELLENT!
 
Wengi wanavaa bila kujua kilichoandikwa. Nilishawahi kumuona mtu ameivaa T-shirt iliyokuwa imeandikwa PROPERTY OF SOUTH CAROLINA PRISON.
 
Kigamboni nilimuona kijana wa kiume kavaa fulana ina maandishi "equal right for gays"
 
hivyo inakuaje mtu mzima unavaa tshirt kifuani ina maandishi makubwa kabisa ya IM PORN STAR ....Dah mi sion poa kabisa.

kuna jamaa namfahamu yani alinunua shati imeandikwa porn star... i was wtf??????? jamaa akatoa herufi p
 
Back
Top Bottom