Haya kwangu ni maajabu: hawa wadudu wametoka kwenye kichwa cha mbuzi leo walikuwa wa 4.

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Baada ya kumchinja huyu mbuzi walipo pasua kichwa kwenye ubongo wametoka hawa wa dudu wa 4. Wachinjaji wanasema ni kawaida nilisikia nikadhani ni stori ila leo nimeona mwenyewe na hapo wanatembea kabisa. Je wewe ulikuwa unajua hili?
IMG_1843.JPG

IMG_1844.JPG

Swali linakuja wanaishi vipi? Wanapuaje wanakula nini?
 
Baada ya kumchinja huyu mbuzi walipo pasua kichwa kwenye ubongo wametoka hawa wa dudu wa 4. Wachinjaji wanasema ni kawaida nilisikia nikadhani ni stori ila leo nimeona mwenyewe na hapo wanatembea kabisa. Je wewe ulikuwa unajua hili?
View attachment 1285984
View attachment 1285986

Kwani mdudu ndani ya kokwa la embe, kaingiaje, anapumuaje, anakula nini?
 
Labda mbuzi ni ajabu ila kwa kondoo haya mambo yapo sana,kuna wakati hufika kondoo hupenda kuanzisha varangati na wenzake kisha wakishapasuana vyakutosha huanza kupiga chafya mfululizo mwisho hutoka mdudu kama huyo hapo pic #1.

Inadaiwa huwa kama anamuwasha kichwani ndo maana hata mapigo yake yanakuwa kama ya zombies,kitu siyo cha kupiga kwa nguvu ila yeye anatumia nguvu.
 
Hii ni kitu cha kawaida sana mkuu,
Huwa kitaalamu wanaita ''NASAL BOTS''

1575845493747.png

1575845388818.png

1575845201745.png

1575845144286.png
1575845309300.png
1575845537202.png
1575845606188.png
 
Attachments

  • 1575845555006.png
    1575845555006.png
    332.7 KB · Views: 10
kisha wakishapasuana vyakutosha huanza kupiga chafya mfululizo mwisho hutoka mdudu kama huyo hapo pic #1.

Inadaiwa huwa kama anamuwasha kichwani ndo maana hata mapigo yake yanakuwa kama ya zombies,kitu siyo cha kupiga kwa nguvu ila yeye anatumia nguvu.
Labda mbuzi ni ajabu ila kwa kondoo haya mambo yapo sana,kuna wakati hufika kondoo hupenda kuanzisha varangati na wenzake kisha wakishapasuana vyakutosha huanza kupiga chafya mfululizo mwisho hutoka mdudu kama huyo hapo pic #1.

Inadaiwa huwa kama anamuwasha kichwani ndo maana hata mapigo yake yanakuwa kama ya zombies,kitu siyo cha kupiga kwa nguvu ila yeye anatumia nguvu.
 
Kwani mdudu ndani ya kokwa la embe, kaingiaje, anapumuaje, anakula nini?

Matunda ni rahisi kutobolewa na huwa na vitundu hata ukiminya unaona , mshangao ni uwezo wa kiumbe hiki kuishi ndani ya mnyama namnyama kuendelea kuwa hai. Kwenye matunda lazima litaoza je kwa wanyama kama hawa?
 
Swali kwako, sasa baada ya fly kudeposited eggs zake kwenye nostril za mbuzi, na baada ya eggs hizo kuingia ubongoni ama kichwani kwa mbuzi je lavae hizo za huyo fly hazikui na kuwa mdudu kamili au ndio huendelea kukua na kukua zikiwa lavae hivyo hivyo maisha??
 
Baada ya kumchinja huyu mbuzi walipo pasua kichwa kwenye ubongo wametoka hawa wa dudu wa 4. Wachinjaji wanasema ni kawaida nilisikia nikadhani ni stori ila leo nimeona mwenyewe na hapo wanatembea kabisa. Je wewe ulikuwa unajua hili?
View attachment 1285984
View attachment 1285986
Swali linakuja wanaishi vipi? Wanapuaje wanakula nini?
ata wewe unao ndio wanaokufanya unakasirika au jazba au kufanya vurugu.
Kwa lugha rahisi Kama Masai anavyopandisha Mori Ni hao wadudu
 
Back
Top Bottom