Haya, Kigogo mwingine wa CCM

MwanaHabari

JF-Expert Member
Nov 9, 2006
442
13
CCM leader’s family firm in illegal poaching trade?


THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A COMPANY owned by the family of the chairman of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) in Mbeya Region, Nawab Mulla, is at the centre of allegations of poaching and involvement in the illegal trade of game trophies in the country, it has been learnt.

According to police reports, a cargo of illegal government trophies was recently discovered in Iringa Region inside a truck allegedly associated with Usangu Safaris Limited, a tourist hunting company owned by the prominent Mulla family.

The Iringa Regional Police Commander, Assistant Commissioner of Police (ACP) Advocate Nyombi, confirmed that the Mitsubishi Canter truck with registration number T 467 ASM was intercepted on Tuesday last week.

Nyombi confirmed that the vehicle was found carrying various game trophies including elephant ivory, rhinoceros horns, and the hides of various wild animals.

Police have so far arrested the owner of the vehicle, Evarist Ngina; the driver, Stanley Gohaji; and the Usangu Safaris Ltd Operations Manager, Solomon Makuru. The three were arrested at a police checkpoint in the Igumbila area, while allegedly trying to transport the illegal game trophies from Mbarali District in Mbeya Region to Dar es Salaam.

Nyombi said police have launched an official investigation into the matter, and are still trying to verify the owners of the Usangu Safaris company.

According to official records at the Ministry of Natural Resources and Tourism, the listed directors of Usangu Safaris Ltd are H. Mulla Abdulrahim and Abdul Basid H. Mulla.

The company has been licensed to operate on three hunting blocks - Usangu Game Reserve (E), Usangu Game Reserve (W), and Lwafi Game Reserve.

The Mulla family is also linked to another company, Tanzania Wildlife Corporation, which has hunting blocks in the Selous Game Reserve, Rungwa Ikili Game Reserve, and Lake Natron Game Control Area (South).

RPC Nyoni said the game trophies seized from the truck by police did not have the necessary permits from the government.

He said police are also trying to verify the authenticity of various documents presented by the Usangu company employee, Makuru, who is said to have claimed that his employers had received orders from foreign companies to export the trophies to Europe.

When contacted by phone yesterday for comment about the incident, Nawab Mulla declined to discuss the alleged involvement of his family’s company in the trophies catch.

’’Why are you asking me these stupid questions? ... Aren’t you tired of making enemies? You have already targeted EPA, Richmond, radar and others. Now you are trying to create more enemies,’’ the Mbeya CCM regional chairman charged.

He ended the telephone conversation with our reporter by saying he had better things to do than respond to such questions.

But another member of the Mulla family, Nazir Mulla, told THISDAY in another telephone interview from Mbeya Region that Usangu company was not involved in any illegal game trophies business.

’’My company is not involved in criminal activities�we have all the documents for the trophies,’’ he stated.

Nazir said he had no knowledge of reports that investigators last week searched the company’s offices in Dar es Salaam over the Iringa incident.

He dismissed allegations that the company was trying to cover up the arrest of its employee with suspected illegal game trophies.

The Permanent Secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism, Ms Blandina Nyoni, said she was not immediately aware of the arrest of the suspects in connection with the illegal trophies, as she had just returned to Dar es Salaam from the Sullivan Summit in Arusha.
 
Scan10007.jpg


Scan10009.jpg
 
si ni yule kigogo kwenye ile thread " mafisadi waendelea" watu wakabisha


Watu hawakubisha, walitaka majina na sio mafumbo. Sasa hii ni habari. Ukweli utafutwe juu ya hili, akithibitika kuhusika ashughulikiwe huyu, tena mapema sana. Kiongozi lazima aonyeshe mfano mzuri, asipoonyesha mfano mzuri awajibishwe, asipowajibishwa chama kinajirundikia lawama.
 
Nani miaka hii katika nchi hii anaweza kuwa na kibali cha kusafirisha pembe za faru. Na huyu faru atakuwa amewindwa wapi???? inajulikana kabisa maeneo yenye faru na idadi yake iweje leo hii mtu akamatwe na pembe ya faru na aanze kujitetea.

I can smell a very big rotten RAT.

Nilidhani pia hawa Mulla waliuza TAWICO kwa wamarekani fulani?? ama sivyo
 
hapo wanataka wapooze ishu basi waTZ tusahau kisha wanasonga mbele na michongo mingine....Duh wanatuulia faru,tembo kila mala bungeni wanalalamika wanya pori wanapungua kumbe wao wenyewe wanajipendelea....Kweli walio juu wanafaidi nchi hii jamani..
 
Huyo Mulla ni mtu ambaye Hayati Mwalimu alimukataa kwenye Chama kwasababu ya uhalifu imekuaje sasa ni M/kiti wa CCM Mby? Aligawanya Chama huko Mbarali ameshirika katika kashfa mbalimbali na FBI waliwahi kumchunguza katika uhaini wa Osama.
 
Si wanasema wana documents zinazohalalisha wao kusafirisha nyara za serikali, hivi kwanini kama wanadocument hiwe issue kubwa namna hii au hawana ndo wanazitafuta. Tukisema CCM kama chama kimeoza kwa ufisadi wengine wanasema kuna wasafi mimi sijaona msafi hata mmoja kuanzia wenyeviti wao wa mitaa hadi viongozi wa kitaifa, tatizo ni kwamba wanajiusisha sana na biashara kiasi cha kusaau maadili ya uongozi.
 
Watu hawakubisha, walitaka majina na sio mafumbo.

Mkuu wangu Mtanzania,

Huyu mkulu wa CCM Mbeya ni nani tena maana sijawahi kumsikia, wewe ninakuaminia kwa dataz za Mbeya, huyu ni nani tena naona tumemuona sana wiki hii hapa JF? Hebu tumwagie mkuu za ndani!
 
Mula ameingia CCM wa mizengwe mingi na kuna taarifa kwamba amewahi kuwa na kesi mbaya zaidi.

Hatari zaidi ni kwamba kiongozi wa polisi zilipokamatwa nyara alikua akiwagawia waandishi wa habari 200,000 kila mmoja walipokwenda kufuatilia hiyo habari na sasa hali ni mbaya sana kwani jamaa wamechanganyikiwa baada ya KULIKONI na THISDAY kuandika hiyo habari.... sasa wanatishia maisha ya watu wanaowashuku baada ya kumhonga kiongozi wa juu serikalini, wanamuandama kiongozi mwingine aliyekataa pochi lao... hii ni serious na kwa kweli inafanyiwa kazi na vyombo vya juu vya serikali maana sasa imefikia hatua ya kuhatarisha maisha ya wengine
 
Huyu jamaa ni balaa sio mchezo,sina ushahidi sana kuhusu kulamba Tanzania Tea Blenders kwa bei karibu na bure.Wenye data hata za kulamba Tanzania tea Blenders watupe ili kila kitu kiwekwe wazi. Jamaa kaharibu mkoa wa Mbeya vibaya,wazalendo wamebaki kugawanyika kama vile wakimbizi ndani ya mkoa wao.
 
Mula ameingia CCM wa mizengwe mingi na kuna taarifa kwamba amewahi kuwa na kesi mbaya zaidi.

Hatari zaidi ni kwamba kiongozi wa polisi zilipokamatwa nyara alikua akiwagawia waandishi wa habari 200,000 kila mmoja walipokwenda kufuatilia hiyo habari na sasa hali ni mbaya sana kwani jamaa wamechanganyikiwa baada ya KULIKONI na THISDAY kuandika hiyo habari.... sasa wanatishia maisha ya watu wanaowashuku baada ya kumhonga kiongozi wa juu serikalini, wanamuandama kiongozi mwingine aliyekataa pochi lao... hii ni serious na kwa kweli inafanyiwa kazi na vyombo vya juu vya serikali maana sasa imefikia hatua ya kuhatarisha maisha ya wengine

Nyara zilivyokamatwa mdogo wake Mulla alipeleka mill 50 kuhonga hakufanikiwa bahati mbaya akapata shinikizo la damu akafa!!!!!!
 
Any way mimi nafikiri tuwaache wamalize huo musiba halafu watupe taarifa kamili hata kama huyo mwnyekiti anatukana wandishi hana ujanja maana nchi hii haifichi mafisadi wamejiuzulu vigogo wakubwa kushinda yeye na hiyo taarifa ni lazima aitoe na mimi nitajitahidi kuifatilia kwa karibu
 
Back
Top Bottom