Haya kafungieni ndoa daraja la kigamboni-Magufuli.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya kafungieni ndoa daraja la kigamboni-Magufuli.!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ralphryder, Oct 4, 2012.

 1. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndio maana yake! mradi umezinduliwa na hayo ni baadhi tu ya maneno yaliyomo ktk hotuba yake ya kuweka jiwe la msingi, mbele ya balozi wa egypt!
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwamba! daraja linageuka kanisa au msikiti? Aache dharau za kij.@*nga
   
 3. mak89

  mak89 JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 974
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 80
  Mabwanyenye bwana
   
 4. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kaka vp Id mpya
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,946
  Trophy Points: 280
  Astaghafulilah mcheku... ina maana misikiti ndio inafungisha ndoa? Tutaandama shauri yako
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,479
  Trophy Points: 280
  aanze yeye.
   
 7. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu angel,punguza jazba! nilitaka jusema mkapige picha za ndoa! Duh magwanda bana! jambo dogo tu,povu kibao!
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huyu maguful anapiga kelele2, mtu ukifika jimbon kwake aibu hamna maji safi na salama,umeme shida kashindwa kufatilia chato wapate umeme wa bukoba utokao uganda ambao huduma ni saa 24,anaacha wa2mie umeme wa jenereta usio na uhakika,kifupi jimbo liko nyuma kimaendeleo ni aibu cjui hata ajivunia nn
   
 9. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu ki ukweli Chato nimefika na kweli bado sana iko nyuma kimaendeleo ila mi nazungumzia mradi mpya wa kurahisisha mawasiliano katia ya kigambonino na Jiji la dsm basi!
   
 10. amu

  amu JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kauli za viongozi wetu mhhh
  nafikiri kuna siku nitaanzisha thread "collections za kauli za viongozi"
  mmhhh haya bana
   
 11. A

  ADK JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Likikamilika watakwenda tena wengi tu nyie subirini muone
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  magwanda ndo watu gani?
   
 13. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Askari katuni mkuu!
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu ila hapo kaongea kama waziri na sio kama mbunge mkuu
  Tujaribu kuangalia utendaji wake kama waziri na sio kama mbunge
  Mkuu
   
Loading...