Haya jamani kaburi/mazishi ya Balali haya hapa!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Jamani wana JF,tumeshafuatilia sana issue ambazo zina utata likiwemo tukio zima la ajali ya muheshimiwa mbunge Muzihir,lakini bado hatujapata ukweli wake,sasa kama kuna mdau yeyote ambaye anazo picha za kaburi,au mazishi ya Balali aziweke humu JF ili aondoe utata unaojitokeza.
 
jamani punguzeni bhangi,kichwa cha habari na habari yenyewe ni vituko tuu,mkimaliza kulivuta muwe mnalala kidogo.
 
lakini kama ni bhangi , hiyo ni banghi gani ?
kwani kuna ubaya kuulizia kaburi la balali lilipo ? mbona tunajua kaburi la nyerere lilipo..kaburi la sokoine, sivibaya kuona hata picha za kaburi la gavana wetu huyo.
mbona picha za kaburi la gavana marehemu Rutihinda unaweza ku[piga pale buguruni.
 
yeye ameuliza au amesema kama vile hizo picha anazo ameziweka??si makosa kuuliza inabidi arekebishe kichwa cha habari asionekane chizi.
 
Umu kuna shabiki kibao hambao hawako makini jamaa kauliza swali la msingi sana.

Kwanini kaburi la balali lisionwe? kwanini iwe SIRI?
 
Yeye kasema kaburi la balali hili hapa, yaani kamaanisha lipo hapa na sio kwamba anauliza
 
Mie jamani nilishangaa sana kuwa mtu amezikwa America lkn swali likaja kuwa hivi alikozikiwa huyu jamaa na mazishi yake hewa akuna wabongo wanaoweza au walioweza hudhuria hayo mazishi?mie najiuliza kila siku hivi lilikuwa changa la macho?ukweli unakuja kuwa kweli mheshimiwa mmoja alisema watanzania ni wapumbavu sana,hau kam tupigwe chenga kimachomacho hivi jamani?inaudhi sana wakati mwingine nikijiuliza khs huyu jamaa..walisema sana wazee wa huko kwao eti wazee wa kwao lazima kieleweke bila balali hakuna maelewano je wako wapi sasa?Kaka JK alitupiga la macho hapo...
 
Sawa hata kama walichoma moto nani kaiona DEATH CERTIFICATE yake hapa bongo?
 
Back
Top Bottom