Haya huyu jamani ni mchawi wa kilabu ya timu ya simba au yanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya huyu jamani ni mchawi wa kilabu ya timu ya simba au yanga?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 19, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  ustaadhi akiingia neshno stedium tarratiiibu...
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu ukiangalia mkono wake wa kushoto rangi ya kitambaa alichoshika utapata jibu kama ni mchawi wa Simba au Yanga.
  Mchek tena.
   
 3. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  He he heeee.... KAMATI YA UFUNDI
   
 4. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anatinga na mibuzi ya kafara!Hawa jamaa ni hatari kwelikweli!
   
 5. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tanzania bana sasa huyo alipiyaje na hao wanyama? Na kwa nini yuko pembezoni mwa uwanja na hazuiwi?
   
 6. M

  Malunde JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Walinzi wa mlangoni ni wateja wake, wasingeweza zuia fundi wao kuingia na wanyama wake
   
 7. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii ni katika kuthibitisha tu kuwa mashehe na waislamu kwa ujumla ni wachawi wa kupindukia.
   
 8. T

  Tall JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.rangi nyekundu na nyeupe ni za timu gani?...jibu unalo.
  2.inawezekana hana lolote ila kuwatia hofu timu fulani.
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hao walio nyuma yake wachezaji wa timu gani?
   
 10. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kama hii inafanya kazi saa hizi tuko South kwenye kombe la dunia:embarrassed:
   
 11. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #11
  Jun 19, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hapa pia huwa nashangaa wale wanaopandisha majini, majina ya majini huwa ni ya kiislam, au kiarabu kwa asilimia kubwa!
   
 12. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu Hatuzungumzi mambo ya Dini hapa. Tunachozungumza ni huyu ni Mchawi wa Timu gani?Yanga au Simba jibu linapatikana kuwa huyu ni Mchawi wa Timu ya Simba kwa Ushahidi wa hicho Kitambaa Chekundu alichokishika Mkononi mwake. Mkuu usilete mambo ya Dini hapa kama Masuala ya Uchawi sio waislam peke yake hata Wakristo ni Wachawi wakubwa, nenda Makanisa ya Walokole kazi yao kubwa kutowa Watu Mapepo kichwani huo pia ni Uchawi mkubwa sana wewe unajuwa kutowa Mapepo kichwani? Nenda kwa Walokole hiyo ndio kazi yao kutowa Mapepo kwa kutumia jina la Yesu kumbe ni uongo Mtupu wanatumia Uchawi tu.
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwangalie sura vizuri. Ni Sheikh Yahya huyo!
   
 14. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu huyu sio sheikh Yahya, ni Mchawi mwingine wa Klabu ya simba
   
 15. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hakuna lolote, hapo ni utapeli mtupu.
   
 16. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unaposema mchawi MWINGINE una maana hata Sheikh ni mchawi, ila huyo ni mchawi mwingine. Nilivyoelewa ndivyo hivyo au la?
   
Loading...