Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

CIA wanachunguza matukio ya uhalifu..
Tofauti yake na FBI ni local na CIA ni international.
Kwani CIA huwa wanachunguza matukio ya uhalifu,FBI kazi yao ni Nini?
Na je unadhani wazungu hawawezi kujua ukweli wa ulichokificha?
Siamini Kama CCM sio kikundi Cha wachawi,maana Mana tabia zote za kichawi.ikiwa ni pamoja na hofu na mashaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..binafsi sielewi kwanini ccm na serikali hawataki kuchunguza na kuwakamata magaidi waliotaka kumuua TL.

..uchunguzi wa tukio ulipaswa kuanza kwa kumkamata mhusika aliyeondoa walinzi eneo la tukio.

..aliyeondoa walinzi wa area D lazima atakuwa ameelekezwa au ameshirikiana na waliopanga kumuua TL.
 
CIA wanachunguza matukio ya uhalifu..
Tofauti yake na FBI ni local na CIA ni international.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.
 
CIA hawapelelezi kwakuwa hakuna neno investigation? what about neno spying?

CIA wanakusanyaje taarifa zao za kiintelijensia bila kupeleleza?
Hakuna aliyesema wanapeleleza tukio...

Moja ya kazi yao ni ku spy ... ama spying sio kupeleleza?

Unaandika too much ya school notes na kuweka common sense kando..

CIA ni chombo cha ujasusi na upelelezi...
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha unaijua tofauti kati ya CIA na FBI?

Tofauti kubwa ni FBI ndani ya USA, CIA nje ya USA, hiyo ndiyo tofauti!
Kwa ninavyo elewa mimi CIA ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani ambao kwa huku Tanzania ni kama TISS.

CIA wanadili na mambo yajayo au matukio yajayo ya ki intelligence sio matukio yaliyo kwisha kupita.

FBI hawa ndio wanadili na matukio ambayo yalisha kwisha kupita yaani wanafanya investigation kujua lile jambo lilisababishwa na nani? Au nini chanzo cha tukio mpaka kutokea? yaani nani alihusika, nini kilihusika. Hawa ndio FBI Ambao kwa huku kwetu tunaweza kuwalinganisha na wale CID wa polisi.

CIA =TISS
FBI =CID

Kumbuka huwezi chukua usalama wa taifa wa nchi nyingine kuja kufanya uchunguzi kwenye nchi yako hiyo ni risk kubwa sana.
 
Vipi boss hii hawakupeleleza CIA?
Hii ni taarifa ya sio crime related?
Acha notes za shule na jenga uelewa wa kawaida

Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.

Jamii Forums mobile app
 
Angalia attachment chini uone kuwa kazi kubwa ya CIA ni investigation...

Hata hizi taarifa unazozisema wanatumia upelelezi hawaokoti ama sio research centers.

Wako all na spies wakiangalia crimes, threats, wenye akili nyingi, wanaowapinga wamarekani, nani kikwazo kwa njia zao..

Its all upelelezi sio kwa kutumia vitabu na magazeti.

Usichoelewa ni kwamba wamarekani wana uwezo wa ku define programs zao zisionekane kama mbaya..kuna maneno wanatumia kuonesha are being clean na wasitishe watu... wanaua waarabu na watoto wanaita tumeua insurgents...
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.
Screenshot_20200114-173439_Samsung%20Internet.jpeg
Screenshot_20200114-173341_Samsung%20Internet.jpeg
Screenshot_20200114-173211_Samsung%20Internet.jpeg
Screenshot_20200114-172910_Samsung%20Internet.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sawa hujakosea ila wana tofauti ya jurisdiction...
CIA nje/international na FBI ndani....
Kwa case kama terrorist aliyeko ndani ya USA Hapo CIA watamchunguza ndani koz ana connection na nje

Unlike the Federal Bureau of Investigation (FBI), which is a domestic security service, the CIA has no law enforcement function and is mainly focused on overseas intelligence gathering, with only limited domestic intelligence collection
Kwa ninavyo elewa mimi CIA ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani ambao kwa huku Tanzania ni kama TISS.

CIA wanadili na mambo yajayo au matukio yajayo ya ki intelligence sio matukio yaliyo kwisha kupita.

FBI hawa ndio wanadili na matukio ambayo yalisha kwisha kupita yaani wanafanya investigation kujua lile jambo lilisababishwa na nani? Au nini chanzo cha tukio mpaka kutokea? yaani nani alihusika, nini kilihusika. Hawa ndio FBI Ambao kwa huku kwetu tunaweza kuwalinganisha na wale CID wa polisi.

CIA =TISS
FBI =CID

Kumbuka huwezi chukua usalama wa taifa wa nchi nyingine kuja kufanya uchunguzi kwenye nchi yako hiyo ni risk kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari MFU hazina madhara, Hubaki kuwa historia tuu
Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...

I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ... Mike Pompeo.

Jr
 
Kwa hiyo ni fake hiyo clip au imekuwa doctored?

It means still hujasoma what i posted, and again, spies all over the world ndio mafundi hawa ni professional liars, they are being taught how to do anything to achieve what is needed, spies ni professional liars, sasa sijui hoja yako kubwa ni ipi. Hapo nili caution kuwa ni RT tv ili ushtuke ujue that is Russian propaganda TV and Sec of State Pompeo was in one of US university, giving speech to students, sasa RT ni tv ya propaganda za kupinga US always.. So nilitaka ujue hilo, RT sio source reliable to quote kwa masuala ya US.
 
Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...

I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ... Mike Pompeo.

Mkuu, hizo kazi siyo za CIA ni FBI ................!!
 
Back
Top Bottom