haya haya kawambwa na udsm..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya haya kawambwa na udsm.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Feb 7, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wanajf,kwa habari zilizonifikia punde ni kuwa wana-udsm wamekusanyika uwanjani wakimsubiria waziri kawambwa kwa ajili ya kusikiliza madai na kero zao,duh...ana uwezo kweli na kwanini ni kero za udsm anaenda sikiliza waziri mwenyewe na si kama ilivyokuwa kwa vyuo vingine?
   
 2. m

  mzee wa inshu Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya ni masihara mengine. anyway labda ngoja tusubiri litakalo jiri hapo UDISM. But i dont think ndugu yangu Kawambwa is compitent inough in conflict solving. Hapo huyo amepelekwa kama ushahidi tu ili angalau kuwatuliza madogo japo kwa siku moja

  Historia inaonyesha mengi huko alikotokea he did nothing.
   
Loading...