Matokeo gani Haya ya kupika ili kupata kura selikali za mitaa. Mitihani ilifanyika mwezi wa 9 mbona yamewahi sana kutoka??Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ambako mikoa ya kanda ya ziwa imeonekana kuongoza kwa kushika nafasi zote 10 bora kwa wavulana.
Katika matokeo hayo yaliotangazwa leo Jumanne Oktoba 15, 2019 nafasi ya kwanza hadi ya 10 katika orodha ya wavulana waliofanya vizuri zimeshikwa na wanafunzi kutoka katika mikoa ya kanda ya ziwa.
Matokeo haya hapa https://results.necta.go.tz/results/2019/psle/psle.htm
mzee ulikuwa unataka yachelewe?Matokeo gani Haya ya kupika ili kupata kura selikali za mitaa. Mitihani ilifanyika mwezi wa 9 mbona yamewahi sana kutoka??
Huyo binti aliyeongoza kutoka kanda ya ziwa mbona mzee ni kama yupo kidato cha pili,au kawa bingwa wa kurudia madarasa,wengi nimewaona wazee kulinganisha na wanafunzi kutoka kanda zingine kama vile DSMDar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ambako mikoa ya kanda ya ziwa imeonekana kuongoza kwa kushika nafasi zote 10 bora kwa wavulana.
Katika matokeo hayo yaliotangazwa leo Jumanne Oktoba 15, 2019 nafasi ya kwanza hadi ya 10 katika orodha ya wavulana waliofanya vizuri zimeshikwa na wanafunzi kutoka katika mikoa ya kanda ya ziwa.
Matokeo haya hapa https://results.necta.go.tz/results/2019/psle/psle.htm
Wakurya wengi wanamiili mikubwa,ila ukweli dogo kaanzia hapo pre class mpaka class seven..I know her.Huyo binti aliyeongoza kutoka kanda ya ziwa mbona mzee ni kama yupo kidato cha pili,au kawa bingwa wa kurudia madarasa,wengi nimewaona wazee kulinganisha na wanafunzi kutoka kanda zingine kama vile DSM