Haya hapa Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa katika miradi mbalimbali Mkoani Mtwara

jijiletublog

Member
Jul 23, 2020
31
74
AIRPORT YA MTWARA
SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imehakikisha upanuzi wa kiwanja cha ndege Mtwara unafanyika kutoka mita 30 mpaka mita 45, Pamoja na kuurefusha kutoka km 2258 mpka km 2800. Hii inahusiana na kujenga taxway ambayo ni maungio ya runway Pamoja na apron (maegesho), runway strips kwa ajilil ya usalama wa ndege Pamoja na apron. Matengenezo haya yote yamegharimu jumla ya sh bilioni 50.366. faida za mradi huu ni Pamoja na kuongeza ajira kwa vijana kwani vijana wengi wahandisi ni wa kitanzania wameajiriwa katika mradi huu Pamoja na vibarua mbalimbali.

MAJI
Kwa kupitia mradi wa kuchakata gesi wa TPDC, SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imepeleka mradi wa maji katika Kijiji cha Madiba kilichopo maeneo ulipo mradi huo. Wanakijiji wananufaika kupata lita za maji Zaidi ya elfu 60000 na hivyo kupunguziwa tabu walizokuwa wakizipata hapo awali kutokana na ukosefu wa maji.

MRADI WA BARABARA
SAT imesimamia ujenzi wa barabara ya Mtwara-mnivata yenye urefu wa km 50, inayotarajiwa kuongezewa km 210 zaidi ili kufikia Masasi. Barabara hii imejengwa kwa gharama za sh bilioni 8.9, na tayari kipande cha kwanza kimkwisha kamilika. Pongezi kwa raisi magufuli kwa kuhakikisha kuna usimamizi mzuri wa fedha katika serikali yake na fedha hizi zikatumika kukamilisha miradi mikubwa kama hii.

BANDARI YA MTWARA
SAT, chini ya usimamizi wa raisi JPM, imehakikisha pia bandari ya Mtwara inakarabatiwa ili kukidhi mahitaji ya watumiaji wa bandari hiyo. Kiasi cha Zaidi ya shilingi bilioni 50 kimeelekezwa kwa ajili ya ukarabati wa bandari hiyo ambako kunahusisha upanuzi wa bandari ili kuhakikisha ina uwezo wa kupokea mizigo mingi, kurahisisha biashara ya usafirishaji.

SHULE
Kiasi cha sh bilioni 2.1 kimekabidhiwa ili kukarabati shule kogwe zilizopo mkoa wa Mtwara. Mfano ni kama shule ya Mtwara girls imekabidhiwa sh milioni 776 kwa ajili ya ukarabati, chuo cha walimu Mtwara kimekabidhiwa sh milioni 676 na chuo cha ufundi Mtwara kimekabidhiwa shilingi milioni 703 kwa ajili ya matengenezo na uboreshaji wa utoaji huduma. Pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake katika kusimamia hili.

MRADI WA MIJI YA KIMIKAKATI
SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imesimamia miradi mikuu mitatu iliyogharimu takribani shilingi bilioni 23.7 katika mkoa wa Mtwara mpaka miradi hiyo kukamilika. Miradi hiyo ni Pamoja na ujenzi wa stendi ya mabasi ya mikindani ambako mabasi yatokayo dar es salaam yanafika hapo. Stand hii inauwezo wa kupokea magari 30 kwa wakati. Mradi mwingine ni ujenzi wa soko la chuno lenye ukubwa wa square meter elfu kumi na mia mbili, uwezo wake ni kupokea wafanyabiashara 400 wenye uwezo wa kutoa huduma kwa watu Zaidi ya elfu tano kwa siku.

Pia ujenzi wa barabara yenye urefu wa km 5.3 iliyogharimu jumla ya sh bilioni 8 pamoja na ujenzi wa mifereji ya mvua yenye urefu wa km 2.6 iliyogharimu takribani sh bilioni 3.8 umefanyika. Mradi huo pia umehusisha ujenzi wa eneo la mashujaa lenye ukubwa wa skwea mita 33000 linalohusisha mahali pa mapumziko, michezo ya basketball na volleyball na mabwawa mawili, la wakubwa na la Watoto.
 
Magufuli si aende tu akafanye kampeni huko Mtwara.

Kakutuma wewe uje humu?
 
50.366+ 8.9+50 + 2.1+23.7 = TZS 135.066 Billion!!

Yaani nimeokoteza hivyo visent unavyosema serikali ya Magu imewekeza Mtwara kwa miaka 5, na nimepata jumla tarkribani Sh 135 Billion!!

Yaani haijafika hata nusu ya pesa ambazo serikali ya Magu iliwaibia watu wa kusini kwenye zao la korosho ambayo ni zaidi ya Sh. 400 Billion kwa MSIMU MMOJA TU!!!!
 
Sisi watu wa mangoela Mtwara, tunasema ahsante Sana kwa miradi ya maji coz kwa Sasa ni kweli Maji yanatoka
 
Attachments

  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    20.1 KB · Views: 2
jijiletublog ,

..unasema serikali inatumia 8.9 billion kujenga barabara kusini.

..tunajua serikali imetumia 500+ billion kununua midege toka kwa mabeberu.

..Je, hiyo ni sahihi?

..Je, vipaumbele vyetu viko sawasawa?
 
AIRPORT YA MTWARA
SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imehakikisha upanuzi wa kiwanja cha ndege Mtwara unafanyika kutoka mita 30 mpaka mita 45, Pamoja na kuurefusha kutoka km 2258 mpka km 2800. Hii inahusiana na kujenga taxway ambayo ni maungio ya runway Pamoja na apron (maegesho), runway strips kwa ajilil ya usalama wa ndege Pamoja na apron. Matengenezo haya yote yamegharimu jumla ya sh bilioni 50.366. faida za mradi huu ni Pamoja na kuongeza ajira kwa vijana kwani vijana wengi wahandisi ni wa kitanzania wameajiriwa katika mradi huu Pamoja na vibarua mbalimbali.

MAJI
Kwa kupitia mradi wa kuchakata gesi wa TPDC, SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imepeleka mradi wa maji katika Kijiji cha Madiba kilichopo maeneo ulipo mradi huo. Wanakijiji wananufaika kupata lita za maji Zaidi ya elfu 60000 na hivyo kupunguziwa tabu walizokuwa wakizipata hapo awali kutokana na ukosefu wa maji.

MRADI WA BARABARA
SAT imesimamia ujenzi wa barabara ya Mtwara-mnivata yenye urefu wa km 50, inayotarajiwa kuongezewa km 210 zaidi ili kufikia Masasi. Barabara hii imejengwa kwa gharama za sh bilioni 8.9, na tayari kipande cha kwanza kimkwisha kamilika. Pongezi kwa raisi magufuli kwa kuhakikisha kuna usimamizi mzuri wa fedha katika serikali yake na fedha hizi zikatumika kukamilisha miradi mikubwa kama hii.

BANDARI YA MTWARA
SAT, chini ya usimamizi wa raisi JPM, imehakikisha pia bandari ya Mtwara inakarabatiwa ili kukidhi mahitaji ya watumiaji wa bandari hiyo. Kiasi cha Zaidi ya shilingi bilioni 50 kimeelekezwa kwa ajili ya ukarabati wa bandari hiyo ambako kunahusisha upanuzi wa bandari ili kuhakikisha ina uwezo wa kupokea mizigo mingi, kurahisisha biashara ya usafirishaji.

SHULE
Kiasi cha sh bilioni 2.1 kimekabidhiwa ili kukarabati shule kogwe zilizopo mkoa wa Mtwara. Mfano ni kama shule ya Mtwara girls imekabidhiwa sh milioni 776 kwa ajili ya ukarabati, chuo cha walimu Mtwara kimekabidhiwa sh milioni 676 na chuo cha ufundi Mtwara kimekabidhiwa shilingi milioni 703 kwa ajili ya matengenezo na uboreshaji wa utoaji huduma. Pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake katika kusimamia hili.

MRADI WA MIJI YA KIMIKAKATI
SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imesimamia miradi mikuu mitatu iliyogharimu takribani shilingi bilioni 23.7 katika mkoa wa Mtwara mpaka miradi hiyo kukamilika. Miradi hiyo ni Pamoja na ujenzi wa stendi ya mabasi ya mikindani ambako mabasi yatokayo dar es salaam yanafika hapo. Stand hii inauwezo wa kupokea magari 30 kwa wakati. Mradi mwingine ni ujenzi wa soko la chuno lenye ukubwa wa square meter elfu kumi na mia mbili, uwezo wake ni kupokea wafanyabiashara 400 wenye uwezo wa kutoa huduma kwa watu Zaidi ya elfu tano kwa siku.

Pia ujenzi wa barabara yenye urefu wa km 5.3 iliyogharimu jumla ya sh bilioni 8 pamoja na ujenzi wa mifereji ya mvua yenye urefu wa km 2.6 iliyogharimu takribani sh bilioni 3.8 umefanyika. Mradi huo pia umehusisha ujenzi wa eneo la mashujaa lenye ukubwa wa skwea mita 33000 linalohusisha mahali pa mapumziko, michezo ya basketball na volleyball na mabwawa mawili, la wakubwa na la Watoto.
Hizo pesa ni za Magufuri au za walipa kodi? mbona mnakua wajinga nyie. wajibu wa kutekeleza miradi ya maendeleo si ya serikali iliyopo madarakani kwa kutumia pesa za walipa kodi mlitegemea Mzee wa Ubwabwa ndio atekekelze hiyo miradi kwa pesa ipi? CCm ipo madarakani takribani miaka 60 ndio wamatufika hapa tulipo kwa umasikini,.
 
Mjinga wewe mbona umepewa fedha za kamati ya harusi mbona unatumia ahadi
 
Hizo pesa ni za Magufuri au za walipa kodi? mbona mnakua wajinga nyie. wajibu wa kutekeleza miradi ya maendeleo si ya serikali iliyopo madarakani kwa kutumia pesa za walipa kodi mlitegemea Mzee wa Ubwabwa ndio atekekelze hiyo miradi kwa pesa ipi? CCm ipo madarakani takribani miaka 60 ndio wamatufika hapa tulipo kwa umasikini,.
Ni majinga kweli ndiyo maana ni maskini miaka nenda rudi
 
Sasa ulitaka afanye nani zaidi ya Serikali? Hiyo ni wajibu sio ombi then hakufanya Mh. Magifuli imefanya serikali na bado walipokosea ni pakubwa kuliko walichofanya thats why tunataka mabadiliko.
 
Hivi unajua 2800 KM au unaleta mzaha hiyo ni runway ya Rocket kutoka pluto au
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom