Hay-Chapman: Kutoka kulala mtaani mpaka kumiliki milioni 325,000,000

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,061
fab67cfaaafd4a179b6bae38732376e6.jpg

Kuna msemo maarufu usemao riziki ni mafungu 7, Hay-Chapman (pichani) alikuwa hana maskani hivyo ilimlazimu kulala nje mitaani akiwa hana msaada wowote katika jiji la San Francisco.
Mungu si Athumani, jamaa huyo amezawadiwa mapesa karibia $150,000/= kama zawadi baada ya kuripoti tukio la wafungwa waliokuwa wametoroka katika kituo cha usalama katika kaunti ya Orange na kufanikisha kukamatwa kwa wahalifu hao.

Hossein Nayeri, Jonathan Tieu na Bac Duong walitoroka katika gereza la Santa Ana Jan. 22 na walikuwa wakitafutwa kwa siku kadhaa. Msemaji wa wasimamizi wa bodi ya kaunti ya Orange Jean Pasco amesema Hay atatunukiwa tuzo ya uaminifu na wajibu mwema kama raia.

Kwa taarifa kama hizi vijana wanaolala mitaani na kuamkia kwenye ma pool table au stendi za mabasi watakuwa na maamuzi mawili, aidha watamlaumu sana Mhe. Magufuli au watafanya jitihada za kuhamia ugaibuni maana Mhe. Magufuli hawataki vijana wasio na kazi mijini anawataka waende kwenye makambi
 
Huyu naye alikuwa mcheza pool? Inaonekana hii issue ya pool imekugusa sana.
 
Back
Top Bottom