Elections 2010 hawavumi kumbe nao wamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!rizi wajk,rost azim na......

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
juzi na jana watu wengi maarufu na ambao wakikohoa tu vyombo vya habari vinaandika hatimaye wanadai kuwa DR Slaa anazeeka vibaya we riz wa jk, we rost azim nyie uhai wa inji hii kweli leo Dr.Slaa huyu huyu mzee wa data na ushahidi unaowakoroga serikali mahali anapokuwa anautolea maana unatoka ndani yenu mukiuuita confidentia - siri acheni propaganda za kumchafua Dr. slaa toen hoja za kumkomboa mtanzania
 
Dr.slaa allingizwa mjini safari hii, amelishwa data feki, hv sasa yupo kimyaaaa na nasikia ana ugonjwa wa preshaaa. Muacheni mzee wa watu apumzike ameshindwa uchaguzi halafu mnataka kumuongezea stress tena. Pumzika kwa amani Slaaaaaa !
 
Unaunyatia upromotion nini? Nilidhani wewe ni Riz1, lakini nimehakikisha riz1 yupo uhuru stadium na wewe unaendeleza matapishi yako.
 
Huyo RA mbona akiwa bungeni haongei ????. Mbona wote wanajitahidi kujitoa kuwa hawakuwepo kwenye kikao?, wasimlalamikie Slaa badala yake wambane huyo Fisadi mwenzao aliyeandika hiyo barua ambaye mpaka sasa yupo kimya. Hiyo barua akuiandika Dr. Slaa, wameiandika wenyewe makada wa CCM. Kwa taarifa yao kuna nyaraka nyingi za aina hiyo na zitaanza kuwa hewani muda c mrefu. Wanalo.
 
Wanmjua slaa ni kiboko yao . wanaongea juu juu. wambie waende mahakamani . Hawathubutu . Mziki wa slaa wanaujua.
 
Wanmjua slaa ni kiboko yao . wanaongea juu juu. wambie waende mahakamani . Hawathubutu . Mziki wa slaa wanaujua.

Wanmjua slaa ni kiboko ( HAAAA WAPI KIBOKO AMESHINDWA UCHAGUZI )yao . wanaongea juu juu. wambie waende mahakamani (YEYE NDIO AENDE SI ANADAI AMEIBIWA KURA, MFA MAJI……... Hawathubutu (HAWANA HAJA KWANI AKILI YAKE HAIKO SAWA SASA HIVI) . Mziki ( WA NGOMA GANI?) wa slaa wanaujua (MIE SIUJUI HEBU WEKA HAPA JF NASI TUUCHEZE)
 
GeniusBrain
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateWed Nov 2010Posts128Thanks0Thanked 9 Times in 8 PostsUCHAGUZI 2010 UMEIBUA MEMBER WENGI
 
Unaunyatia upromotion nini? Nilidhani wewe ni Riz1, lakini nimehakikisha riz1 yupo uhuru stadium na wewe unaendeleza matapishi yako.

Unaunyatia upromotion nini (NDIO NINI HIYO MBONA HUELEWEKI KIJANA?)? Nilidhani (KUMBE HUNA UHAKIKA, USIWEKE HUMU JF KITU AMBACHO HAUNA UHAKIKA NACHO) wewe ni Riz1 (SIO MIE SASA MIE NI GENIUSBRAIN) , lakini nimehakikisha (KWA HIYO ?) riz1 yupo uhuru stadium na wewe unaendeleza matapishi yako (SIO WEWE NDIO UNAANDIKA HUU UPUUZI, TENA UACHE , P…….VU)
 
hivi jinialiyeas una documents inayoonesha mkutano wa kina Rost aziz ama vip maana naona unatapatapa. ngoja niiweke kwa ajil yako. kama upo hewan sio uhuru tafuta topic uthibitisho huu hapa halaf unijibu. kwakuwa ni mbishi kwa vile nami ninayo hii doc. wanayoita wao siri nakutumia halaf unijib.
 
Back
Top Bottom