wanaume niwepesi wa kupenda na ni wepesi wa kusahau penzi.wanawakw ni wagumu sana ktk kupemnda lakini na akisha kupenda ni ngumu sana kukutoa moyoni
BADILI TABIA Bi jaji alivyokufa kwa kidume unafikiri ugali atamnyima kama siyo kumkabidhi waote aupangie matumizi aonavyo ili mradi kidume amkubali tu?
Baba hajitambulishi majukumu pekee ndio humtambulisha.. Teamo Ti
Kama jaji anamuhitaji jamaa na kamdondokea kwelikweli, sioni sababu ya kwa nini jamaa anasita kurudisha majeshi.
LD hivi kurudi kundini siyo kajitambulisha kimajukumu hapo? Mnataka afanye nini zaidi kama makosa amesamehewa na mla kuku kakumbuka utamu wa jogoo lake atakwa limuikie usiku kucha.........iko mbaya gani hapo?
Sawa tu, ikiwa mungu anasamehe kwanini sisi tusisameheane. Zimwi likujualo halikuli likakwisha, huyo itakuwa pia watoto wa mjini walishamuweza akaona bora arudie old is gold. Mimi sioni shida endapo wenyewe wameridhiana!
Mwanzo wala sikuwa na nia ya kuchangia hapa, lakini kipengele hiki kimenigusa.Simply elewa kuwa being a parent means that you are a leader of a very sensitive pilar of any state. or nation and if you don't have a family or people that depend on you and trust you having faith in that you will protect guide and lead them then you don not have the qualities of leadership..being a leader means that we have entrusted our faith and dreams in you believing that you will show us the right way in achieving them...
hahahahaaaa.....!!!!.miafigganigga mapenzi maruerue hakuna ayajuaye wote ni wateja tu.................
Kuna njemba m'moja wa karibu kanitonya leo hii asubuhi ya kuwa anajipanga upya kurejesha majeshi..........kwa mzazi mwenzie ambaye ana karibu miaka 5 tangia ampige kibuti..................utetezi wake ni kuwa hawakuachana kwa ubaya na yakuwa mwenzie sasa huo ugali wa ujaji ni mkubwa sana haipendezi akiula pekee yake......................
Jiingine adai ni sababu za kiubinadamu nazo zimemkalia kooni kwa kipindi hivi ya kuwa mwenzie amekuwa akimlilia kwenye simu kila siku ya kuwa aache kumnyanyasa kwa kumpiga kibuti kwa hiyo kumrudia atakuwa kaitika wito na......kumtendea ubinadamu aache kuwa na masimango ambayo kidume anahisi yanamletea tafurani hata yeye.........
lingine anadai haifai jaji aonekane ni kapera wakati mzazi mwenzie yupo ila ni harakati za pimbi tu ndizo zilimtia majaribuni........................
hii ni sahihi kweli???????????...............kurudia matapishi yako mwenyewe eti mkate umewiva na tumbo lina wakawaka kwa njaa....................sina uhakika kwenye hilo............Nisaidieni namna ya kumshauri kidume mwenye macheche nguli.......