Hawana Elimu wasemao Mwenyezi Mungu Hayupo!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawana Elimu wasemao Mwenyezi Mungu Hayupo!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tumain, Jan 22, 2010.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wanaosema hivyo hawana elimu yoyote isipokuwa wako reactive eti kutokana na mabalaa yanayotokea hivyo Muumba hayupo, badala ya kuwa- rational. Wengi wao hawajui madhumuni ya kuumbwa kwao na kuwepo kwa maisha na kifo...

  Kuna maisha baada ya kufa, kifo kipo, (wanaosema Mwenyezi Mungu hayupo wanajua hilo) aliyeumba maisha (life)hapa duniani kama mtihani mpito ..ndiyo aliyeumba kifo naye ni Mwenyezi Mungu. Kutakuwa na maisha ya milele baada ya kufaulu mtihani wako wa kuishi hapa duniani.

  Ni kinyume cha akili yenye elimu kufikiri kwamba wabaya wasilipwe kwa ubaya wao, wema wasilipwe haki yao kwa wema wao, waasi, waliodhulumu wasilipwe kwa kudhulumu na kujidai huko duniani, waliodhulumiwa, kuuwa watoto wao, kuvunjwa nyumba zao, kubakwa, etc... wasilipwe kwa kudhulumiwa kwao... Muumba ni JUST lazima awepo ili haki itendeke..anayekataa maisha baada ya kifo anajifariji na wengi wao ni Waovu

  Katika wale wanaosema Mwenyezi Mungu hayupo hakuna aliyetokea kuja duniani kwa hiari yake vivyo hivyo hatakufa kwa hiari yake bali pale amri ya Muumba inapofika, na hufa wale hawezi kuzuia...kwakuwa hawawezi kuzuia kifo ni ushahidi kwamba Aliyeumba ndio anaujuzi nalo zaidi..naye ni Mwenyezi Mungu

  Kwahiyo wale wote wanaosema Mwenye Mungu hayupo ni wajinga hawana elimu yoyote zaidi ya kufuata dhana tu...na ni dhana mbaya sana mtu kuifuata
   
 2. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Wewe ndiyo huna Elimu ya kutosha kwa kuamini kitu cha kufikirika. Thibitisha ili uonekane una ELIMU ya kutosha.
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwenyezi Mungu si kitu cha kufikirika ni kwamba yupo na atakuwepo milele

  Nathibitisha kwamba yupo kwasababu wewe upo (umezaliwa na kuishi, nakuandika hapa JF) ndiye aliyekuumba ..sawa

  Pili, Nathibistisha kwa Baba yako, babu yako, or whoever anayekuhusu aliishi (aliumbwa) akafa na aliyefanya hayo ni Muumba..sawa

  Tatu, Nathibitisha kwamba wewe Mwanjelwa utakufa (siku ikifika) penda usipende ni hiyo lazima itokee 100% sure...na huwezi kuzuia jambo hili...

  Nimethibitisha..next...kataa kwamba hayakutokea haya au hayatakutokea haya.. na aliyeumba haya ni Mwenyezi Mungu moja tu.
   
Loading...