Elections 2010 Hawakuahidi "mabadiliko" kwanini watu wanatarajia mabadiliko?

Waliahidi kuleta bidhaa nyingi sana kutoka CHINA. Nadhani watazileta, kwani hawakuahidi kututengezea mazigira ya sisi kutengezea bidhaa zetu wenyewe.

Rais Kikwete aliahidi kupeleka araja la kisasa na mto kwenye kijiji fulani, kuna mji mwingine uliahidiwa meli kubwa na bahari, mji mwingine uliahidiwa kuwa utaletewa Dubai, akina mama wajawazito waliahidiwa bajaji, ....

Tunasubiri !!!!!
 
Tangu enzi za Mkapa, Tanzania haijawahi kuwa na Rais, isipokuwa ina mtu anayependa kuitwa Rais.

Kabla Kikwete hajawa rais, nilimpinga sana kule Business times lakini zangu zilikuwa kelele za mlango tu. Ninapotathmini utawala wa Kikwete tangu mwaka 2005 hadi 2010, sioni la maana kwa generation ya leo.
 
MJJ
naona post yako imelenga pale pale kwa sababu umesoma psychology za watu......... watu wamesikiliza kampeni za CCM ambapo walikuwa wanajitapa kuwa waliahidi 2005 na wametekeleza wakati walio wengi tunaona hawajatekeleza. at the same time watu walewale waliovaa nguo zqa kijani na yellow wanasubiri kwa hamu mabadliko katika serikali ya JK.

thanks again MJJ kwa kuiweka vizuri!!
 
Hii ni Good Approach Hata Sisi Wengi Tumekuwa Hatuna Expectations Zozote Zile na Tunaona Wanaokuwa na Expectations Nyingi ni Wale Wasiojua Siasa ya Tanzania au Wageni na Wakimbizi TZ. Huyu JK Si Wananchi Wengi Wamemwona Mwaka Huu Akikampeni Mikoani na Walikwenda Kumlaki kwa Hamu. Mara ya Mwisho Alipita Lindi Ilikuwa Lini? Cha Zaidi Nani Alishamsikia JK Akizumzia Bei ya Korosho tangu 2005? JK Alikuwa Anapatikana Paris, Madrid, New York, DC na Miji Mikubwa Duniani Leo Ndio Atabadilika? Angalia Atakavyo Vichukua Serikalini Sasa, Tutakoma Kipindi Chake cha Mwisho. Mkapa Aliifanyia Mbaya Tanzania na Huyu Anajenga Retirement Home Wapi? Mbona Tutamlipia Hata Wafanyakazi Wakumvalisha Viatu. Weye Tusibiri. Hawa CCM Sio Mchezo ni Very Intelligent na Smart Group of People Kuliko Watanzania Wote.
 
Back
Top Bottom