Hawajawahi kukubali

magis

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
391
590
Habari wapendwa

Katika historia ya mwanadamu. Jambo lolote alilolipenda hajawahi kulitupa bali kulipoteza. Haijawahi tokea watu weupe, kulitupa bara la Africa, Walilipoteza. Kwa msingi huo wanalitafuta kwa kila njia. Rais wangu ana nia njema na yupo sawa kwa kujiweka wazi kuwa hataki watu weupe watupate lkn tatizo tayari ameshasema "BORA MIMI SIJASEMA" Hili la kupambana na uharibifu alitakiwa kwa mawazo yangu angepambana nao kimyakimya ili wasipate pa kumkamatia.

Rais wangu Watu hawa waliliondolea thamani zao la Cocoa ili kumkwamisha mwana mapinduzi Kwame Nkrumah. Licha ya nia yake njema aliishia kuuwawa. Watu hawa waliwapa upendo wa bazoka watu wa Iraq na Libya mpaka wakawaua viongozi wao waliowapa kila kitu walichostahili leo utamu umekwisha wanauwana hawapo tena.

Rais wangu Hawa watu ni wa kuwa nao kwa makini, Kwanza adui yako muombee njaa, watanzania watakuchukia kwa kuwa hawajakuelewa, tufundishe Mwl ili tuimbe pamoja Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom