Hawajahusika, wala hawataki uchunguzi! Wanataka afe tu kwa usaliti!

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,987
22,515
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
 
Huyu ndiye Jiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mniombee! Hao wajasiliadini/wajasiliakanisa/wajasiliasadaka/wajasiliaK yanakusanyika pumbavu zao ngedere !
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Wamechafukwa kuliko mchafukogehalafu wanaruka na kukanyagana

Jr
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! wanajianika wenyewe .
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Hauna cha kupost mpaka uhangaike na huu upuuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Maamuzi yoyote utakayo yafanya kwenye maisha yako utawajibika nayo ''Any decision you make in Life you are responsible for it''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom