Hawajahusika, wala hawataki uchunguzi! Wanataka afe tu kwa usaliti!

kwan aliyetamka hii haiwezekan nae kumwah kama hamtanguliza mpendwa we2? shda upinza mko kama kobe,hamtak hata kuwatrain vjana kuwa masnapers mmeshupalia ruzuku 2 mkipgwa mnalalamika 2! wapnzan achane upuuz huu mnanichefua sana mm! tengenezen chanel watu 2jitolee bila hata malipo binafs mnipeleke mafunzon 2 inatosha! watu 2sha choka na haya maisha sana 2! watu wamekuwa miungu m2 kwel?
Nakubaliana na hoja.
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Mkuu ni tafsiri ya hili neno... "MAAJABU YA MZEE RAJABU..."... Napenda uswahili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Hawa watu ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa la Tanzania na Watanzania.
Tudai Katiba ya wananchi kabla hatujachelewa zaidi.
 
suala la katiba ccm wamezba pamba masikion! kifungu cha kinga ya rais kinapaswa kifumuliwe mapema sana na badala yake kisomeke `hvrais ashtakiwe hata kama alimaliza muda wake wake alimrad kama akaonekana alifanya kosa au amefanya kosa' na sio kama ilivyosasa
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
Kuzaa mtoto, akamuita Rajabu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi ikiwa maskini sana mojawapo ya ishara zake ni viongozi kushindwa kuvumilia ukosoaji na pia wakosoaji kushindwa kukosoa sera mbovu bali kushambulia viongozi binafsi na utu wao!!

siku moja Mnyampaa aliita waandishi na kuwatukana viongozi akamwita dereva wetu Dikteta uchwara na huu ulikuwa udhalilishaji wa wazi kwa Rais!! niliona alipaswa kukosoa sera zao! mimi niliona Lissu kavuka mipaka!! nikasema hivi usalama wapo kweli? wanamuona vizuri? au DJ vipi nae yupo haogopi kupokwa uenyekiti? nikasema huyu ni jasiri zaidi ya DJ na anafaa sasa kuongoza saccoss yao!! nilikuwa niko na washkaji nikawaambia huyu jamaa dizaini hizi enzi za Roman empire na Tudor Monarchy walikata kichwa mbele ya kadamnasi!! nilijua kinachokuja kumtokea ila sikudhani watamlima risasi mia nane!!!

Mwalimu alionya kuwa si busara kumtikisa dereva ataangusha gari bure!! nani kaelewa?
 
Ukistaajabia ya Mussa utayaona ya Joni
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...
 
nchi ikiwa maskini sana mojawapo ya ishara zake ni viongozi kushindwa kuvumilia ukosoaji na pia wakosoaji kushindwa kukosoa sera mbovu bali kushambulia viongozi binafsi na utu wao!!

siku moja Mnyampaa aliita waandishi na kuwatukana viongozi akamwita dereva wetu Dikteta uchwara na huu ulikuwa udhalilishaji wa wazi kwa Rais!! niliona alipaswa kukosoa sera zao! mimi niliona Lissu kavuka mipaka!! nikasema hivi usalama wapo kweli? wanamuona vizuri? au DJ vipi nae yupo haogopi kupokwa uenyekiti? nikasema huyu ni jasiri zaidi ya DJ na anafaa sasa kuongoza saccoss yao!! nilikuwa niko na washkaji nikawaambia huyu jamaa dizaini hizi enzi za Roman empire na Tudor Monarchy walikata kichwa mbele ya kadamnasi!! nilijua kinachokuja kumtokea anatak sikudhani watamlima risasi mia nane!!!

Mwalimu alionya kuwa si busara kumtikisa dereva ataangusha gari bure!! nani kaelewa?
Duh!
 
Wanajamvi,

I am confused kusema ukweli! Yani serikali inavyopinga kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuuwa Lissu, lakini hapo hapo wanasema Lissu ni msaliti wa Taifa anayetakiwa kufa! Wengine wanadiriki kusema akirudi watamalizia kazi ambayo hawakuimaliza!

Maajabu ya mzee Rajabu...

Wataondoka tu damu ya mtu itakusakama make ufe. Asilimia kubwa mfano ya wanajeshi wa US wanajiua kwasababu ya vita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom