Hawaiians Anti-Trump protests- with "Welcome to Kenya" placards...

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,091
2,509
DNzhzJtWsAAwS7d.jpg:small

DNwTe2dVoAAIhzr.jpg:small
 
We are a huge country mate. We have overseas territories Hawaii being one of them

duuu kutojua kitu ni kama usiku wa kiza.
Kenya kwa Trump ni kitu cha kuudhi au kitu asichokipenda.
bora hata Zimbabwe na Uganda ambazo anazichukia kutokana na kuwa na marais wanaong'ang'ania madarakani. lkn Mugabe na Museveni wakijitoa madarakani hizo nchi hazitakuwa na shida yoyote kwake. but Kenya haipendi kwa sababu ya ukora. kama unakumbuka kipindi cha kampeni aliwahi sema kuwa hawa ni wezi sana, wamekuja hapa kutuibia tu. wanafanya uwizi wakijificha nyuma ya elimu (education). wanashinda mitandaoni kututukana hawajui hata hiyo mitandao ni yetu. tukiamua tunaweza kuizima.

kwake Kenya ni kero.
So they were annoying him.
 
So they are annoying him.
This is public display of ignorance!!
 
Trump has nothing against Kenya, and he has never ever uttered any such things u have stated above about Kenyans. Those were false reports by some fake news websites.

His beef is with Obama whom he claims was born not in America, but in Kenya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom