Hawa wazuri hivi ndio wanatoroshwa na Mafisadi, dhambi kuu na laana ya kujitakia!!

Hawa ni nembo ya taifa, lakini bado majitu mengine kushibisha matumbo yao tu. vizazi vijavyo wataishia kuwaona hawa twiga kwenye vitabu na intaneti, huku waarabu na makaburu wakifaudu huko kwenye Zoo zao. amkeni jamani tunaporwa!!! Tanzania majeshi yote hayo halafu bado tunaporwa??? Uzalendo Zero!!
 
Jamani...ni wazuri na wakubwa sana, 'wachumia tumbo' tusameheni basi, tumekoma, wajukuu wetu pia wangependa kuwaona!Chondeeh..
 
wana jf ni kweli tunatoa mchago mkubwa sana kwenye jamii lakini imefika wakati tutoe mchongo wetu kwa vitendo kama walivyofanya wananchi wa GEITA kwa kumtimua mbunge na diwani wao hebu tuanze hata kwa kuzomea huku tukiendelea kuhama sisha bibi,babu na wadogo zetu kuipiga CCM kwa vitendo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom