hawa wazungu wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
eti dunia idadi ya watu imeongezeka na kufikia billion7.wanasema eti mtoto wa billion saba amezaliwa Tanzania ambapo bado hajapewa jina ila kazaliwa na mwanamama Kurwa Juma.
swali rangu;
wametumia kanuni gani kujua kama mtoto yule ndo wa billion saba?ni hayo tu.
 
Kwa uchunguzi wa kawaida tu sijaona mechanism yoyote inayofanyika kuhesabu au ku-update taarifa za vifo na vizazi kwa watoto wote wanaozaliwa.
Ukienda sehemu kama RITA unakutana na utunzaji mbovu mno wa rekodi, na bado wanatumia zile type-writer za casio za miaka hiyo!
Hiyo taarifa nimeiona, na hata mimi imeniacha mdomo wazi!
 
Wazungu ni wasanii sana kila kitu mpaka wasema wenyewe.

Sasa inaingia akilini kuwa huyu mtoto anazaliwa Tanzania anazaliwa wapi? Wakati Watanzania wengi hawaziliwi hospitali
 
Back
Top Bottom