Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,514
- 6,489
hebu nijuze, hawa watu wanaoigiza picha za ngono ni watu huru kabisa katika jamii zao, yaani kiasi ambacho wanapita mitaani na watu wanawajua kuwa yule ni porn star ameigiza picha fulani na fulni.
Je kuna ambao baadaye waliacha hizo shughuli na kuanzisha maisha ya heshima na kuingia katika ndoa?
Je kuna ambao baadaye waliacha hizo shughuli na kuanzisha maisha ya heshima na kuingia katika ndoa?