Hawa Watu.

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,514
6,488
hebu nijuze, hawa watu wanaoigiza picha za ngono ni watu huru kabisa katika jamii zao, yaani kiasi ambacho wanapita mitaani na watu wanawajua kuwa yule ni porn star ameigiza picha fulani na fulni.

Je kuna ambao baadaye waliacha hizo shughuli na kuanzisha maisha ya heshima na kuingia katika ndoa?
 
hawa ni watu tofauti sana na jami zetu..
wengi na dhani familia zao haziruhusu lakini mtu akisha kua huwezi kumchagulia maisha..
na utashangaa wengine familia zao zinawasaport...

kuna kitu kilinisikitisha sana na kunishangaza " kwenye familia fulani nilisikia ni family bussiness"
wenyewe hafanyi lakini ..
lakini baba ndo director na mama ndo producer....
ujue dunia ndo tumekwisha hivyo...

"ka kuna mtu ataniuliza zaidi kuhusu hili sintojibu samahani"

kuna dada anaitwa Jenna Jamison ni mama anafamilia na watoto wawili ..
she is the richest porn star in the world...
she get $30 million +...... a year...
kasema kaacha hiyo buss sasa ni mama wa nyumbani na anatunza watoto wake..
lakini kitu kinacho mwogpesha sana ni nini atawaambia watoto wake wakikua..
hope nimekujibu..

AD..
 
AD..[/QUOTE

Asante Afrodenzi, Sijui watoto wake watajisikiaje kwa huyo mama? Huruma kwa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nikazi kama kazi zingine kwenu africa ndo mnaona aibu kwa ulaya hata matangazo yao yapo ktk tv!
 
Kuna Dada mmoja Italy, ambae alikuwa akifanya picha hizo aliwahi kuwa Mbunge wa huko kwao.
 
hawa ni watu tofauti sana na jami zetu..
wengi na dhani familia zao haziruhusu lakini mtu akisha kua huwezi kumchagulia maisha..
na utashangaa wengine familia zao zinawasaport...

kuna kitu kilinisikitisha sana na kunishangaza " kwenye familia fulani nilisikia ni family bussiness"
wenyewe hafanyi lakini ..
lakini baba ndo director na mama ndo producer....
ujue dunia ndo tumekwisha hivyo...

"ka kuna mtu ataniuliza zaidi kuhusu hili sintojibu samahani"

kuna dada anaitwa Jenna Jamison ni mama anafamilia na watoto wawili ..
she is the richest porn star in the world...
she get $30 million +...... a year...
kasema kaacha hiyo buss sasa ni mama wa nyumbani na anatunza watoto wake..
lakini kitu kinacho mwogpesha sana ni nini atawaambia watoto wake wakikua..
hope nimekujibu..

AD..[/QUOTE

Asante Afrodenzi, Sijui watoto wake watajisikiaje kwa huyo mama? Huruma kwa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

yeah alikuwa anahojiwa na Oprah ..
anasema hajui hata atawambia nini watoto wake..
kasema labda wataona hizo movies kabla hajawaambia..
na anaogopa sana jinsi watu watakavyo treat watoto wake especially wakianza shule..
 
hebu nijuze, hawa watu wanaoigiza picha za ngono ni watu huru kabisa katika jamii zao, yaani kiasi ambacho wanapita mitaani na watu wanawajua kuwa yule ni porn star ameigiza picha fulani na fulni.

Je kuna ambao baadaye waliacha hizo shughuli na kuanzisha maisha ya heshima na kuingia katika ndoa?

igiza na wewe uone
 
Wako huru na wanafahamika - US na Europa hiyo ni kazi kama kazi yeyote ile na inalipa kwelikweli!
 
Kuna Dada mmoja Italy, ambae alikuwa akifanya picha hizo aliwahi kuwa Mbunge wa huko kwao.

namfahamu anaitwa Dina Mario,ni mzaliwa wa Brazil ila alikuwa na uraia wa Italy na aliishi na kusoma Italy chama chake ni DMM na mpaka sasa ni kiongozi wa Chama hapa Milan,mtoto wake wa kiume ni shoga na anaclub yake karibu kabisa na San Sirro stadium,mtoto wake wa kike ni Lecturer chuo kikuu cha Florence huko Firenze.namjua mkuu na hata mpaka sasa ni mtamu sana ukimuona anamvuto anajiita Miss Brazil
 
namfahamu anaitwa dina mario,ni mzaliwa wa brazil ila alikuwa na uraia wa italy na aliishi na kusoma italy chama chake ni dmm na mpaka sasa ni kiongozi wa chama hapa milan,mtoto wake wa kiume ni shoga na anaclub yake karibu kabisa na san sirro stadium,mtoto wake wa kike ni lecturer chuo kikuu cha florence huko firenze.namjua mkuu na hata mpaka sasa ni mtamu sana ukimuona anamvuto anajiita miss brazil

kama fiksi fulani hivi mkuu hutudanganyi kweli?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom