Hawa watu wanaongoza kwa kumiliki wanawake wazuri wazuri hivi huwa kuna siri gani?

Ndio maana sisi madereva wa malori tunapendwa na watoto wazuri kumbe sisi ni slope.sasa tutaanza kusafiri nao
 
Umesahau hawa watu wa kusimamia ukucha
1.mchoma mkaa
2.mkata majani ya ng'ombe
 
Wanawake warembo wengi ni viazi. Hao watu uliowataja ni watu ambao wapo rough. Watu smart wanapenda kuwa na mwanamke anayejitambua hata km sura private.
 
Wanawake wanabaka sana, vidume. kuliko hata wanaume wanavyobaka jamani heee!

wanaume wa siku hizi ni waoga, sasa zamu ya kubaka imehamia kwa ''ke''

sema sasa wanaume ni wagumu hawasemagi hata kutamka tu, akitumia mbinu za kukuwekea vipaja ukawa hamnazo anakwambia kabisaa kupitia utaniutani tu,

na ke wengi humu wamefanya hayo.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom