Hawa Watu Wako wapi? Yusuf Makamba, Tambwe Hizza na Kingunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Watu Wako wapi? Yusuf Makamba, Tambwe Hizza na Kingunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chuwaalbert, Feb 24, 2012.

 1. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,053
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi wa JF, kuna wanajamii wa CCM ambao nahisi siku hizi wapepotea KISIASA! Siwasikii kabisa! Yusuf Makamba, Tambwe Hizza, Kingunge Ngombare, Ridhiwan Kikwete, Rostam Abudlrasud Aziz na John Chiligati. Mbona "WAMEPOTEA?" Kulikoni?:photo:
   
 2. M

  Malova JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Baadhi yako wropokaji, wamenyamazishwa wasijiharibie
   
 3. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we unajua kama wamepotea afu unauliza wako wapi,? Mbona unajikanyaga kanyaga mkuu?
   
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wanaswalisha!
   
 5. MALI YA BABA

  MALI YA BABA JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Watakuwa kwa Mzindakaya!
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,904
  Likes Received: 2,322
  Trophy Points: 280
  Wengi wao midomo yao imewapeleka kusikojulikana!
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wakiongea mnachonga wakikaa kimya mnalalama. hivi mkoje nyie mafala. simuwaache wazee wa watu wajipumzikie?
   
 8. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makamba anawaandalia mafisadi makazi ili alipo na wao waende!
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ridhiwani yuko biz na biashara yake ya lake oil...
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,904
  Likes Received: 2,322
  Trophy Points: 280
  Jibu swali si unaongea kama uko kijiwe cha wapiga domo na wasio na kazi.
  U great thinka ni pamoja na majibu sahihi,vinginevyo upeo wako ni kulee iwanda wa mipasho.
   
 11. t

  tweve JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na masumbuko lwamwai .shitambala .kaboul nao wamepotelea where?
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Makamba anaendesha mabasi ya shambalai,kingunge anauza maji ya uhai ubungo kibangu,tambwe hiza yuko ubungo mataa anauza koni,chiligati anashughulikia mafaili ya ndani ccm,ridhiwani anasoma phd Udsm na rostam amerudi kwao bombay!
   
 13. MKILINDI

  MKILINDI JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Walisema walima korosho "kila msimu na mchwao" ishakuwa hadithi bado kuandka historia.
   
 14. c

  chama JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wamemaliza majukumu yao kichama

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 15. M

  Mtelekezwa Senior Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  uwezo wao wa kujibu hoja za sasa zinazotolewa na wanaharakati ni mdogo
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2013
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  index.jpg
  alivuma sana baada ya kutoka upinzani
   
 17. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2013
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  KATEMBELEA VYAMA VYOTE VYA SIASA NA MWISHOE AKAJA TUA ccm. Yote hiyo ni kutafuta Ubunge kinguvu afaidi mashangingi ya bure na kujikita katika tume. baada ya kuona ubunge hata hapo CCM ni nguvu kazi, kaaamua kulalal mbele kimyaaaaaaa!!!
   
 18. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2013
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa ni ile shepu ya nitaitumia elimu yangu kwa hasara ya wote.
   
 19. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2013
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Yupo lumumba kapewa umesenja kama Mtela Mwampamba
   
 20. k

  kikilo Senior Member

  #20
  Jul 13, 2013
  Joined: Jan 13, 2013
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kondom ikishatumika inathamani?Ipo jalalani! au watoto wanapuliza mtaani
   
Loading...