Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,274
- 6,435
Hivi huo ugonjwa ungekuwa upo wa kutosha kwa maana umeenea sana hivi kweli kungekuwa na kuogopa kutengwa na jamii?Corona ipo ya kutosha hususani hapo Dsm wagonjwa wanafia majumbani Hosptal ndogo ndogo na hata wakifa ndugu hawasemi ni corona huficha siri kwa hofu ya kutengwa na jamii
Maana kama huo ugonjwa upo na watu wana uguwa sana sasa iweje tena iwe siri na kuogopa kutengwa wakati jamii yenyewe inasumbuka na huo ugonjwa,sasa huyo mwenye kumtenga mwenzei ni nani?