Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,196
- 113,481
- Thread starter
- #261
‘COVID-19 specialist’ 🤣🤣🤣
‘COVID-19 specialist’ 🤣🤣🤣
Unaposema kitu ni cha uongo, unapaswa kusema kilicho cha ukweli.Hoja si kufichwa kwa takwimu. Ndiyo maana katika kurejea takwimu za John Hopkins nimekupa ni nchi nne tu dunia nzima ambazo zilikuwa angalau na ujasiri wa kuweka data mpya za vifo katika kipindi kile. Achilia mbali suala la u sahihi wa data hizo ambalo nalo ni jambo jingine.
Hoja ni kuwa unadadavua namba zipi wakati dunia yote imejikita kwenye data za uongo ambapo sisi ndiyo baba lao?
Kwa maana nyingine dadavuzi zako hapa chini hazisimami na mithili ya gunia tupu.
Yaani kuwa udadavuzi huu ni garbage kwani zimepikwa tokea jalalani:
View attachment 1513684
Unaposema kitu ni cha uongo, unapaswa kusema kilicho cha ukweli.
Kama data za Johns Hopkins ni za uongo, basi weka wewe zilizo za ukweli.
Ukifanya hivyo, utasaidia wengi.
Hueleweki aisee! 🤣🤣Nyani Ngabu, hapa chini ni bandiko lako:
View attachment 1513934
Unakiri kuwa kwa hakika takwimu hazipo. Kwamba si Tanzania tu aliyeamua kwa makusudi kufunga watu kamba za mgomba, bali hata magwiji kama USA, UK, China, Brazil nk nao maji ga nyanja!
Kwamba ni kweli data hizi zilizopo hazina tofauti na zile za jalalani:
View attachment 1513937
Umetumia data za jalalani mkuu kupata output unayoileta hadharani? Kwamba output yako siyo garbage?
Kuwa John Hopkins hana credible data? Hilo mbona si wewe peke yako unayelijua bali hata watanzania wa leo huku kwenu 'Ikungu lya bashashi' tunajua hivyo.
Mwamba nasikia Madagascar hospitali zimefurika.Hapo Nairobi wanapata wagonjwa 500 kwa siku.Sisi kwetu gonjwa limekimbia baada ya kipigo kikali.‘COVID-19 specialist’ 🤣🤣🤣
Nami ‘nimesikia’ huko Antananarivo spitali ziko tupu.Mwamba nasikia Madagascar hospitali zimefurika.Hapo Nairobi wanapata wagonjwa 500 kwa siku.Sisi kwetu gonjwa limekimbia baada ya kipigo kikali.
Madagascar imposes lockdown amid rise in COVID-19 casesNami ‘nimesikia’ huko Antananarivo spitali ziko tupu.
Bloomberg - Are you a robot?Nami ‘nimesikia’ huko Antananarivo spitali ziko tupu.
Speaking of data, data za Tanzania zinazoonesha tumeishinda Corona ziko wapi?Unaposema kitu ni cha uongo, unapaswa kusema kilicho cha ukweli.
Kama data za Johns Hopkins ni za uongo, basi weka wewe zilizo za ukweli.
Ukifanya hivyo, utasaidia wengi.
Sijui zilipo.Speaking of data, data za Tanzania zinazoonesha tumeishinda Corona ziko wapi?
Hueleweki aisee! 🤣🤣
Hahahaa hivi hata wewe mwenyewe unaelewa kweli ulichokiandika?
Sidhani hata kama ulielewa nilichoandika ambapo nilikuwa namjibu Kiranga.
Andika vizuri ili ueleweke. Labda tunaweza kujadili vizuri.
Sielewi unachokiongelea.Mkuu nilichoandika kiko wazi. Kwamba umeshindwa kuelewa? Kwamba hukuelewa hiyo haina tatizo. Kuelewa kunahitaji kiwango fulani cha jitihada.
Katika niliyoandika:
1. Ni nukuu ya wazi kutoka kwako ikikubaliana nami kuwa kwa hakika takwimu hazipo:
View attachment 1514064
2. Takwimu zipi ulizotumia wewe kwa huu udadavuzi?
Sielewi unachokiongelea.
Deuces ✌🏿
Kwani mimi nimesema wapi mmeishindwa?Sijui zilipo.
Wewe unajua zilipo zinazoonyesha tumeishindwa?
Sasa wewe hizo data za kuishinda mimi unaniuliza kwani kuna sehemu nimesema tumeishinda?Kwani mimi nimesema wapi mmeishindwa?
Kwenu wamekufa wangapi? Hebu tuanzie hapo kwanza!!Membe kajipaka vitakasa mikono pia alinawa mikono baada ya kutoka pale na kwenda kutafuna tangawizi kunywa maji ya limau Asprin kwa wingi, corona ipo nyingi hapo jijini Dsm lakini kwa kuwa watu wameamua kufanya siri hawataki kusema ndugu zao wamekufa kwa covid 19 bali husingizia ni magonjwa mengine ya kawaida tu, wengi hawataki ijulikane wana mgonjwa wa corona kwao wakihofia kutengwa na jamii zilizowazunguka, hilo jiji la Dsm lina watu zaidi ya milion 5 na wengi huishi uswahilini kwenye misongamano mkubwa ambapo hufa wengi lakini wanafanya siri huku wewe na CCM mkiendelea kuwahadaa watanzania kuwa corona imekwisha Tanzania.
At LA Fitness right now pumping some iron...I have no reason to risk going out unnecessarily.
I work from home. I do go out food shopping once in a while. I am not one of those people who itch to go outside. That is animal behavior.I have a thousand and one projects to do at home, currently I am collecting Artificial Intelligence datasets to fill a 288 terrabyte array in my basement (two 720xds). Also collecting and trying out different distros from www.distrowatch.com.
One corner of that basement has a thousand paperbacks waiting for me.That is just a corner.I estimate about 10 to 12k physical titles overall. I am getting an average of two new titles a day.I am not even getting into the ebooks across some 25 tablets and readers.I am getting the new Nyerere set by Shivji et al in a few days. The movies and TV shows on my list I am not even going to pretend to count. The treadmill beckons, the weights are calling me, the baby grand and the upright are demanding my time. If human civilization was erased today, and only my house remained, I would still preserve a good chunk of this civilization. From "The Decline And Fall of The Roman Empire" by Gibbon to "The Road To Reality: A Complete Guide To The Laws Of The Universe". I don't feel that I need to go out.In fact staying inside has helped me cut on unnecessary shopping.
Even as I do not have a compromised immune system, I do not have a reason to venture out.
I hope Tanzania lucks out (there is no other way to put it, if we do not get impacted like Europe or the Americas). But the lack of concern, even from people who should know better, worries me.
Top floor, listening to Nikki Mbishi Baba Malcolm. Still at work.At LA Fitness right now pumping some iron...
And where you at? In yo basement?
View attachment 1514141
Uko sahihi mkuu! Kuna nchi nyingi za Afrika na hata Amerika ya kusini hazikuweka Lockdown ila ile ya kuto weka lockdown ya Tanzania ilisikika ulimwengu mzima zaidi kwa sababu ya BBC Dira ya Kiswahili.We vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.
Ipo lakini haiuwi ndio maana yake? Mbona Kenya huko tunasikia karibu watu 200 washakufa kwa corona.Corona IPO lkn haiuwi. Hata jirani zetu IPO lkn haiuwi. Sasa hapa kwetu taarifa rasmi zilizuiwa kutangazwa.
Kutotangazwa na kutokuwapo ni vitu viwili tofauti.
Niseme tu ndjia ya JPM ya kuwatoazwatu hofu ni njia bora kuliko ile inayopelekea watu kuwa na hofu.
Muhimu chain ya tangawizi na limau ni muhimu.