Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,056
- 18,403
Hata mnyika yawezekana alikuwa anapigishwa magoti Kama huyu ndo maana alipotea kwenye game.Ukute hata bwana Kassim alikuwa akipigishwa magoti kama hivyo.
Hata mnyika yawezekana alikuwa anapigishwa magoti Kama huyu ndo maana alipotea kwenye game.Ukute hata bwana Kassim alikuwa akipigishwa magoti kama hivyo.
Aliyekaa kwenye kiti ni retired president Lungu wa zambia but aliyepiga magoti ni Rais mpya wa zambia aliyepitia mateso mengi chini ya amri za bwana Lungu.
Viongozi wa Afrika huwa wana funza kichwani badala ya akili!
View attachment 1894670