Hawa watoto wa kiume wametutia aibu ila huyu aliyevaa ya simba sc katutia aibu zaidi,msiba huu

Mbona povu jamaa angu na wewe mwanaume wa dar nini!????
Nimenena kikawaida kabisa.
Kwamba sio sio kila kitu inazushiwa dar, wengine wanasema wako beach dar, je kweli beach kuna udongo mwekundu? Au dar kweli kuna udongo mwekundu hivyo?
 
Nina mashaka na mtoa post, sio kila kinachofanyika ni dar, hivi dar kuna udongo mwekundu hivyo? Mambo mengine muongeage ukweli kama ni mikoani mseme tu, msifiche uozo wa mikoani na kusingizia kila kitu dar
Watu pori hawajui hata rangi ya udongo wa Dar,hahahaba
 
ea18cc141d862f37de15bce050ed3079.jpg
kwa hiyo siku hizi jezi ya simba imewekwa rangi za njano mikononi na mabegani ama kweli vyura ni shiiiida
 
Nina mashaka na mtoa post, sio kila kinachofanyika ni dar, hivi dar kuna udongo mwekundu hivyo? Mambo mengine muongeage ukweli kama ni mikoani mseme tu, msifiche uozo wa mikoani na kusingizia kila kitu dar
Yapo maeneo yana udongo mwekundu
 
Ndala za bata
Suruali mtepweto
Kidongo chekundu
Plantation
Wamkoa mmejivua nguo, Sio Dar hiyo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom