Hawa Watanzania Wawili kwa hiki wanachofanya wako sahihi kwa Uhuru wao au ni Kosa Kubwa Kisheria?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
Wakati idadi ya Marehemu wa Ajali ya Teja Mchomoa Betri Mkoani Mororogo ikizidi Kuongezeka ambapo muda si mrefu Mamlaka ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imesema kuwa idadi yao imeongezeka na sasa wamefikia 97 nimekutana na Watu Wawili mahala wakifanya Kitendo ambacho bado nakitafakari hadi hivi sasa.

Watu hao Wawili walikuwa Wakibeti na Mmoja wao kasema kuwa kama mpaka Kesho Jumatano idadi ya waliokufa haitofika 100 anatoa Tsh Laki Tano na mwenzake kasema kama kuanzia leo kuna Majeruhi mwingine atakufa nae anatoa Tsh Laki Tano akiwa na maana kwamba hawa 97 ndiyo mwisho na wengine watapona.

Je Kubeti na Maisha ya Watu kwa Mungu ni Dhambi? Je ni Kosa la Kisheria? Je hawa Jamaa nao kama Watu Huru hawana Uhuru wao wa Kubeti kama vile ambavyo nimewahi Kuona nchi zingine kuna Michezo ya Kubetisha hadi ya Kuangalia ni Mwanaume gani anaweza Kufanya Tendo la Ndoa kwa Raundi nyingi na nani hawezi kabisa.

Wabobezi wa Masuala haya ya Kijamii na Kisheria hadi wale wa Kimamlaka hebu jitokezeni hapa mtusaidie Kutuelimisha nasi.
 
Mleta mada tutaacha kuchangia mada zako zimekaa kimbeya mbeya tu.Ungetaja wako wapi mtaa gani ungewaripoti hata polisi .Majina huweki ,mtaa huweki Ni umbeya mbeya tu.usigeuze jamii forums jukwaa la umbeya
 
Mleta mada tutaacha kuchangia mada zako zimekaa kimbeya mbeya tu.Ungetaja wako wapi mtaa gani ungewaripoti hata polisi .Majina huweki ,mtaa huweki Ni umbeya mbeya tu.usigeuze jamii forums jukwaa la umbeya

Sasa kama Siku zote unajua kuwa Mimi ni Mbeya na Wewe hupendi Umbeya inakuwaje kila ninapoanzisha Mada hapa Nyege zako Mshindo huwa zinakupanda utadhani Bata Mzinga anataka Kupandwa na Dume na unapenda Kuzifungua? Je nikisema Wewe una matatizo ya Akili ( yaani Mwendawazimu ) na kwamba unatakuwa kuwahi Kitanda chako cha Wagonjwa pale Mirembe Hospitali Mkoani Dodoma nitakuwa nakosea?
 
Back
Top Bottom