Hawa Wastaafu, pesa za kiinua mgongo huwa wanapeleka wapi?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Binafsi hua najiuliza sana yawezekana kutegemwa kuajiliwa au kufanya kazi za kuajiriwa hua zinakua na madhara makubwa sana

Unakuta asilimia kubwa money management strategies hawana.

Juzi hapa kuna mwalimu alipandishwa kua mratibu wa ELIMU sasa baada ya kustaafu akapewa kama M90+ hivi ajabu sasa.

Yeye akaenda kununulia bajaji USED mbovu inamsumbua kila siku garage sahiii hela hana anauza(vyuma chakavu) maarufu screpa ajàbu nyingine mshauri wake wa fedha ni jamaa ambaye hata hajawahi kumiliki hata baiskeli.

Nataka kujua kwa sababu hii sio mara ya kwanza naona kwa watumishi wa serikali mtu anapokea kiinua mgongo then nothing an vitu anavyofanya utacheka mwisho wa siku anashtukia hana hata 100.
 
Waajiriwa siku hizi wameamka sijajua huyu wa wapi. Vitu vya kuwekeza vingi sema kuna watu wanawakopesha pesa kabla then wanakuja kujumua.

Investments za shares, bonds, real estate, guest houses, nyumba za kupangisha na mengineyo zipo sijui wanawaza nini. Watanzania tuamke usingizini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom