Hawa warembo wa Jeshi la nchi gani ??

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,372
0040gxqt.jpg
 
Shape zao zinaonekana ni za air hostess, Hips zimepimwa hakuna kuzidi kiwango
 
Hivi hawa kweli hawawezi kuwa watarajiwa wa viti maalum kutoka CHADEMA?
 
kama kawaida, FL1 huwa upotezi ni Vimwana warembo kuliko maelezo
 
Hivi hawa kweli hawawezi kuwa watarajiwa wa viti maalum kutoka CHADEMA?

unadhani CHADEMA wanatoa u MP kama kwa watu wa dizaiini ya akina Vick Kamata??? mambo hayo ni huko CCM
 
unadhani CHADEMA wanatoa u MP kama kwa watu wa dizaiini ya akina Vick Kamata??? mambo hayo ni huko CCM<!-- google_ad_section_end --> (QUOTE).

Ukiangalia magwanda waliyovaa ni kama ya khaki hivi. Ndio maana nadhani pengine ni watarajiwa wa CHADEMA.
 
unadhani CHADEMA wanatoa u MP kama kwa watu wa dizaiini ya akina Vick Kamata??? mambo hayo ni huko CCM<!-- google_ad_section_end --> (QUOTE).

Ukiangalia magwanda waliyovaa ni kama ya khaki hivi. Ndio maana nadhani pengine ni watarajiwa wa CHADEMA.

Dah,kuna mshikaji wangu katoka Bongo kipindi cha kampeni,kanikuta nimetinga Jean Courcel 2 Buttons- Men's Slim suit ya khaki,kanicheka sana.Kanitania.." naona umefungua tawi la Chadema ughaibuni ..".

SI Kila khaki ina uhusioano na Chadema Mkuu....the same as Kijani na Njano,sio zote ni C-C-M
 
Aisee huyo wa pili kushoto si mchezo! we angalia picha ni black and white lakini anavuta.
 
Tukifanya yale yaliyo mema peponi tutapewa kila mtu wanawake wauri kama hawa kumi na mbili wote mabikira

hiyo ndiyo tuzo pekee au hiyo ni mojawapo.
na sisi wabeijing tukifanya mema tutapewa wanaume kumi na mbili mahendisamu??, i cant wait,imagine me with 12 handsome bikira babaz,lazima niache dhambi.
 
Yaani jamani hamuoni kwamba hizo ni picha za mtu mmoja katika mitindo ya mavazi tofauti?
 
Wajeshi wa kanali Gadafi, yeye huwa hatumii wajeshi wa kiume, sijui ana matatizo gani.....ila dah, kama vile wako peponi vile....
 
Nimekimbia kule jukwaa la siasa sababu ya udini.
Nikaja huku kusafisha macho napo nakutana na udini.
Mwe!!

Mkuu kuuliza swali nako ni udini?Mimi nimemuuliza tu kama hayo aliyoyatamka ndio anayofundishwa na dini yake, unajuaje labda na mimi nimevutiwa nataka kujiunga na dini hiyo?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom