FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
oops picha imegoma kuonekana sijui kwa nn
Hivi hawa kweli hawawezi kuwa watarajiwa wa viti maalum kutoka CHADEMA?
unadhani CHADEMA wanatoa u MP kama kwa watu wa dizaiini ya akina Vick Kamata??? mambo hayo ni huko CCM<!-- google_ad_section_end --> (QUOTE).
Ukiangalia magwanda waliyovaa ni kama ya khaki hivi. Ndio maana nadhani pengine ni watarajiwa wa CHADEMA.
oops picha imegoma kuonekana sijui kwa nn
Tukifanya yale yaliyo mema peponi tutapewa kila mtu wanawake wauri kama hawa kumi na mbili wote mabikira
Tukifanya yale yaliyo mema peponi tutapewa kila mtu wanawake wauri kama hawa kumi na mbili wote mabikira
Mkuu hayo ndio dini yako inavyokufundisha...?
Nimekimbia kule jukwaa la siasa sababu ya udini.
Nikaja huku kusafisha macho napo nakutana na udini.
Mwe!!