HAWa WANAOZUSHA KIFO CHA DR ULIMBOKA WANA HILA GANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HAWa WANAOZUSHA KIFO CHA DR ULIMBOKA WANA HILA GANI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr Klinton, Jul 6, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AnGALIA hIZI NI HISIA ZA GREAT THINKER MMOJA....

  Mimi nina SHAKA na TAARIFA MCHANGANYIKO JUU YA HALI YA COMRADE ULI, upande mmoja tunaambiwa yuko mahututi (UNCLEAR SOURCE), upande wa pili tunaambiwa anaendelea vizuri (DOCTORS). Who is the OTHER (UNCLEAR) SOURCE? To me, i am starting to smell a rat. Dilemma. Either ni kweli kuna instability katika hali ya comrade au kuna 'watu' wameamua kutoa TAARIFA POTOFU. Kama hili la pili ni sahihi (taarifa potofu), basi hapo ndipo SHAKA YANGU inazaliwa. Ni nani huyu anayetoa taarifa hizi, kwa lengo gani? Ninajiongeza (extrapolation), kwamba pengine ni 'adui', ambaye jaribio lake limefeli, lakini hajakata tamaa, anatafuta njia ya kumalizia 'kazi'. Taarifa hizi za hali mbaya zinaweza kutumika baadaye (paving the way) endapo atafanikiwa. Kwamba, hali yake ilikuwa ikidorora kila siku, kwamba alikuwa kwenye 'life support', kwamba alikuwa kwenye 'coma'. Kana kwamba tunaandaliwa kisaikolojia kupokea matokeo, if the worst is done! Nitoeni shaka plz, usalama wa comrade upewe priority.

  MWISHO WA NUKUU

  Mtazamo WANGU

  NAONA USALAMA WANACHEZA MCHEZO MCHAFU HAPA AMBAO HAUTAFANIKIWA KWA WALIVYOSHONDWA KUFANIKISHA MENGINE

  BBC WAMESEMA YUKO MAHUTUTI

  BAADAE MTAANI OOHH MNAONGEZEA UZUSHI MWINGINE ......

  LAANA YENU IMEISHA ANZA HAPA HAPA DUNIANI
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu kuna mijitu ya ajabu sana,hizi taarifa za uzushi zina malengo mabaya ila wao siyo Mungu.Tuzidi kumtegemea Mungu
   
 3. S

  Shembago JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kWA KWELI HAPA TUMTEGEMEE MUNGU TU! NA TUZUDI KUMWOMBEA DR APONE
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  God forbid!
  Namnenea Dr Ulli tangu sasa yu haia. Mauti na kuzimu vimeshindwa.
   
 5. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Achana nao ajidhaniaye amesimama ahakikishe hajaanguka. Watakufa wengi wao kwanza kabla ya kutokea matabirio yao. Hujasikia anayemuuguza mgojwa mahututi hospitalini kujikuta anakufa na aliyekuwa mgonjwa anapona? Wasiojua maana hawaambiwi maana.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Amen! Na huu ndiyo ujumbe mkuu kwa sasa
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tuendelee kumwombea jamani hero wetu apone.
   
 8. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  amina...
   
 9. M

  Mkono JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  watu wengi wanatawaliwa na roho ya unafiki.AFE AU APONE SIKU ZOTE ATAENDELEA KUWA SHUJA WETU NA HAKIKA HITORIA ITAMTENDEA HAKI .
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wakuu wanao zusha hizi habari za kifo cha Dr ulimboka ni pale lumumba kwenye lile jengo la kijani na njano
   
 11. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  jamani kwa walio na taarifa za uhakika juu ya hali ya mpendwa wetu Dr. Uli watujuze kwani nimepigiwa sasa hivi na Dr. Mmoja toka Morogolo akiniambia kwamba Dr. Uli amefariki ebu tuondoeni shaka si tulio mbali jamani kwani hii inatia uchungu sana.
   
 12. N

  Nambombe Senior Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba ndio wanashabikia kifo cha dr ulimboka
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,722
  Trophy Points: 280
  TISS wanapanga matokeo.Ilaaniwe CCM na mbwa wao TISS.
   
 14. we gule

  we gule Senior Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Emen:baby:
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Kabisaaaa!
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Walaaniwe Abeid na Ahmed Msangi..wote semeni AMEN.
   
 17. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Amen kabisa, Mungu azidi kumpigania
   
 18. k

  kitero JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu yupo Lumumba na Dr yupo Arfikakusini anatokea na kuandika ktk fb DR mahututi.Tuache uzushi wakipuuzi kama ni kupona au kuchukuliwa uhai wake ni Mipango ya Mungu,tuayaache tutapata taarifa na sii uzushi wa vijiwe vya mitaa ya Lumumba
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...