M mabomu Member Feb 17, 2011 43 7 Oct 13, 2011 #1 wape ushauri basi! Attachments wanafunzi.jpg 37.8 KB · Views: 521
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Oct 13, 2011 #3 watapata wapi usafiri wa kuwarudisha home jioni
K Kifuna JF-Expert Member Aug 7, 2008 442 117 Oct 13, 2011 #4 Wanafikiria maisha mapya baada ya masomo haya kuyamaliza.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,554 Oct 13, 2011 #5 Kifuna said: Wanafikiria maisha mapya baada ya masomo haya kuyamaliza. Click to expand... ndio jibu lake haswaaaa wanachowaza..
Kifuna said: Wanafikiria maisha mapya baada ya masomo haya kuyamaliza. Click to expand... ndio jibu lake haswaaaa wanachowaza..
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,385 Oct 13, 2011 #6 Wapo kwenye break ...pepa inaendelea bado ...
M MAMENGAZI JF-Expert Member Dec 31, 2010 780 128 Oct 13, 2011 #7 Wanafikiria jinsi ya kuvuka vikwazo vya Fataki watakaporudi uswahilini.
Trustme JF-Expert Member Jan 7, 2011 1,169 349 Oct 13, 2011 #8 mabomu said: wape ushauri basi! Click to expand... Waendelee kupunzika, maisha sio kusoma tu! Mi nilipokua form 11 nilipachikwa mimba na maisha yanaendelea kama kawa babu langu
mabomu said: wape ushauri basi! Click to expand... Waendelee kupunzika, maisha sio kusoma tu! Mi nilipokua form 11 nilipachikwa mimba na maisha yanaendelea kama kawa babu langu
K KILINDI Member Apr 17, 2011 50 5 Oct 13, 2011 #9 Ni vigumu kujuwa wanachowaza haswa, labda nami nijaribu kubuni wanachowaza. wanawaza kwanini CCM inewatelekeza na je hatma ya maisha yao itakuwaje?
Ni vigumu kujuwa wanachowaza haswa, labda nami nijaribu kubuni wanachowaza. wanawaza kwanini CCM inewatelekeza na je hatma ya maisha yao itakuwaje?
K KILINDI Member Apr 17, 2011 50 5 Oct 13, 2011 #10 Kupata kwako Mimba ni uzambe ulioufanya wewe, enzi zako, hizi ni nyakati nyingine kabisa, kumbuka kiza zama na wakati wake.
Kupata kwako Mimba ni uzambe ulioufanya wewe, enzi zako, hizi ni nyakati nyingine kabisa, kumbuka kiza zama na wakati wake.
Lutala JF-Expert Member Jun 17, 2010 848 103 Oct 13, 2011 #11 mabomu said: wape ushauri basi! Click to expand... Karibuni katika shughuli za ujenzi wa Taifa. Nyie kwa sasa ni wqshirika wenzetu katika shughuli za maendeleo
mabomu said: wape ushauri basi! Click to expand... Karibuni katika shughuli za ujenzi wa Taifa. Nyie kwa sasa ni wqshirika wenzetu katika shughuli za maendeleo
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,596 5,787 Oct 13, 2011 #13 Wanawaza jinsi watakavyopambana na maisha mapya.
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,188 Oct 14, 2011 #15 naona mmeamua kuwauzisha nyago dada zenu.