Hawa wanafunzi wa sekondari (Dar) wanakaa muda gani darasani?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,856
1,195
Kwa kweli huwa nashindwa kuwaelewa wanafunzi wa jiji hili, muda wote wako barabaran na kwenye vituo vya daladala. Muda huu nipo Mwenge, kila kona kuna wanafunzi. Hivi ratiba zimebadilika na wanaingia kwa shift?
 

Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,550
2,000
halafu unawakuta wanaongea na simu muda huo....maskini elimu yao i-mashakani
 

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
225
Alafu hawanaga pressure kbs ya kugombea magar, wanafika kituon saa 12 wanapanda gar saa 2, na shule zilvyombal, bas wanafka baada ya breaktime. kupunguza zero ngum sana.
 

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,856
1,195
wewe shule ulisomea wap? Kama ungesomea dar usingeshangaa!
nimesoma mkoani, vipindi vilikuwa kuanzia saa 2 mpaka saa 8:40. Nakumbuka kulikuwa na break saa 4<nusu saa> then saa 6 hv, robo saa. Ndiyo maana nashangaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom