Hawa wanafaa/walifaa

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Kwa mtazamo wangu baada ya Nyerere hawa ndo the best people ambao wangestahili kiliongoza jahazi la watanzania ktk kufikia nchi ya asali na maziwa:
Kumbuka: kwa hali ilivyo nchini kwa sasa tunatakiwa viongozi wa kiutendaji zaidi na si wa directives, Mf.Kagame kwa ss huko rwanda
na hawa majamaa walijitokeza/wamejitokeza kuwa watendaji si watu wa porojo nyingi.
2015 HATUTAKI VIONGOZI/RAIS I CELEBRITY TUNATAKA WATENDAJI

RAISI: Edward Sokoine
M/Rais : Nafuta hicho cheo
Waziri Mkuu: Dr.W.Slaa
Mawaziri:
Augustino Lyatonga Mrema
Dr.H.Mwakyembe
J.Magufuli
T.Lissu
Z.Kabwe
A.Tibaijuka
 
Daahhh..hapa viroba tusingekunywa kabisaaa..masaa kazi yangekuwa 11 na baada ya kutoka kazini unatakiwa uwe na kashamba kadogo kwa kila mtumishi...!!
 
Suala sio kiongozi wa juu. Ni ubovu wa system uliyopo. Mtu anapewa madakamakubwa na kuyatumia atakavyo "with impunity" na hakuna "checks and balances".
 
Back
Top Bottom