Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
1,253
2,000
Naona Nikki wa pili ulivyo mtu wa ajabu umeanzisha uzi alafu katika list umejiweka wa kwanza.....
Unachekesha sana....jiandae mwenyewe
Haya rahisi wa 2040....
 

Masseto

JF-Expert Member
May 14, 2020
846
1,000
Africa haitakuja kupata rais mwema na mwenye hamu ya kuibadirisha nchi yake, maybe tusubir jpo karne moja mbele.. inawahusu vitukuu vyetu...

Tunamiaka 60 ya uhuru ila tupo kama mabush men in 21st century
 

Mwadilifu Mdhulumiwa

JF-Expert Member
Jul 22, 2021
271
500
Kiongozi sahihi wa kuipeleka Tanzania mbele atatoka upinzani na si ndani ya ccm! Maana huyu ni sawa na mchezaji wa akiba aliyetoka nje ya uwanja kwani anakuwa ameshayaona mapungufu yote! Hata hapa majuzi Membe amekiri ukiwa ndani ya ccm huwezi kuyaona mapungufu yake wala ya serikali yake!
Zaidi ya yote hata ukija kuyaona hutaweza kuyafanyia kazi sabab kwa namna moja au nyingine utakuta mfumo huohuo ndio uliokuzaa na kukupa madaraka unayokuwa nayo!
Mfano JK alishindwa kushughulikia wizi wa EPA ambao ulifanyika awamu ya 3 coz ndo ulowezesha akaingia ikulu, JPM na makeke yake yote ya kufungua hadi mahakama za mafisadi, lakini alishindwa kuwagusa waliochota mabilioni ya nssf, sabab zinajulikana!
Hivyo kiongozi wa kutufaa ni wa kutoka upande wa pili tu!
 

diranqhe

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,464
2,000
Mtoe Gambo kwenye hiyo list. Huyo mtu hafai kuwa kiongozi.. ni mnafiki na mfitini sana
 

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,931
2,000
Hapo pa Mrisho Gambo nakukubalia

2030 namuona Mwigulu Nchemba akiingia Ikulu
What!
giphy.gif
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,858
2,000
I like your strategy of protecting your favourite candidates, mleta mada. Ninadhani jina lako la mfukoni halipo hapa.
 

chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
2,025
2,000
Ila umejitahidi mkuu .ukweli hawa jamaa wako clean lkn pia wanautulivu wa akili na moyo!! if they will not change ,one day ,if not today l/tomorrow they wl be presdential material.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom