Hawa wamezuiwa kupiga kura na Mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wamezuiwa kupiga kura na Mafisadi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kigarama, Oct 27, 2010.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbali na wanafunzi wa elimu ya juu kuondolewa kimkakati kupiga kura, kuna kundi lingine nalo limeongezwa kwenye idadi ya watakaoshindwa kupiga kura Jumapili tukufu ya Mabadiliko.

  kwa Taarifa sahihi na za uhakika nilizozipata nchi nzima, kuna watu wanapita kwenye vituo vya kupigia kura kulikobandikwa majina ya wapiga kura na kukakata baadhi ya majina ya wapiga kura wanaodhaniwa kwamba ni wafuasi wa vyama vingine visivyotakiwa kushinda kwa kalalmu za wino na kueneza Propaganda kwamba watu hao wamefutwa na Tume ya uchaguzi.

  Maeneo ya Arusha, Mbeya, Mwanza na Songea yafanyiwe kazi kuwaelimisha watu kwamba waliofuta majina yao kwa Pen ni wahuni wanaopaswa kupuuzwa. Kazi kwetu.
   
Loading...