Hawa wamezeeka kisiasa wangali Vijana kiumri

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Tumezoea kuwaona wazee wa umri. Lakini uzee upo wa aina nyingi. Unaweza kuzeeka kiumri, kisiasa, kielimu. n.k.

Utawezaje kutofautisha uhai wa siasa za hawa na uhai wa siasa za wazee wa umri kama akina Mgana Msindaye, Lyatonga Mrema, Kingunge Ngombale Mwiru, James Lembeli na wingine wengi? Nawaongelea hawa:

1. Julius Mtatiro
2. Habib Mchange
3. Ben Saanane
4. Lawrence Masha
5. Fred Mpendazoe.

Hawa kwa umri ni vijana wadogo sana, lakini kisiasa wamezeeka, Isingekuwa kujuajua Kompyuta na kuwaonaona mitandaoni wakifanya siasa za KIHARAKATI, hapana shaka tungeshawasahu kabisa. Wao wamebaki kuwa wanasiasa wa siku za uchaguzi, ndipo utakapowaona mitandaoni na majukwaani wakitumika ipasvyo, tena ili kuonesha bado wanathaminiwa watapewa mifupa kutafuna(kupewa nafasi za kugombea katika maeneo ambayo ni wazi hawawezi kufurukuta).
 
Yeriko
 
Wapo wengi sana watajeni woote ila mimi nawakumbuka hawa
Juma alex
Emma Mkubilo
Saida Ahmed
Mathias Sale
Mzee Alli
 
Tumezoea kuwaona wazee wa umri. Lakini uzee upo wa aina nyingi. Unaweza kuzeeka kiumri, kisiasa, kielimu. n.k.
Utawezaje kutofautisha uhai wa siasa za hawa na uhai wa siasa za wazee wa umri kama akina Mgana Msindaye, Lyatonga Mrema, Kingunge Ngombale Mwiru, James Lembeli na wingine wengi? Nawaongelea hawa:
1. Julius Mtatiro
2. Habib Mchange
3. Ben Saanane
4. Lawrence Masha
5. Fred Mpendazoe.

Hawa kwa umri ni vijana wadogo sana, lakini kisiasa wamezeeka, Isingekuwa kujuajua Kompyuta na kuwaonaona mitandaoni wakifanya siasa za KIHARAKATI, hapana shaka tungeshawasahu kabisa. Wao wamebaki kuwa wanasiasa wa siku za uchaguzi, ndipo utakapowaona mitandaoni na majukwaani wakitumika ipasvyo, tena ili kuonesha bado wanathaminiwa watapewa mifupa kutafuna(kupewa nafasi za kugombea katika maeneo ambayo ni wazi hawawezi kufurukuta).
Alaaaa! hivi Fred Mpendanzoe ni kijana mdogo sana kumbe? Haya
 
Wewe je umezeeka nini? maana unashinda hapa JF na hauna cheo chochote ndani ya CCM zaidi ya kujivua akili kuitetea kupitia hapa JF
 
Back
Top Bottom