Hawa waliostaafu , pesa za kiinua mgongo huwa wanapeleka waapi?

Mi ntamshauri dingi anunue tipa arround 35 M then inayobaki aitie fixed alafu hii ndinga itutafutie fedha. Au ntakua nmemshauri vibaya ndugu zangu!!?
Mkuu..utakuwa umekosea...bora hiyo 35M ajenge hata nyumba ya kupangisha...kuhusu gari hata mimi sishauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom