Hawa waliostaafu , pesa za kiinua mgongo huwa wanapeleka waapi?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Binafsi hua najiuliza sana yawezekana kutegemwa kuajiliwa au kufanya kazi za kuajiriwa hua zinakua na madhara makubwa sana.

Unakuta asilimia kubwa money management strategies hawana.

Juzi hapa kuna mwalimu alipandishwa kua mratibu wa ELIMU sasa baada ya kustaafu akapewa kama M90+ hivi ajabu sasa.

Yeye akaenda kununulia bajaji USED mbovu inamsumbua kila siku garage sahiii hela hana anauza(vyuma chakavu) maarufu screpa ajàbu nyingine mshauri wake wa fedha ni jamaa ambaye hata hajawahi kumiliki hata baiskeli.

Nataka kujua kwa sababu hii sio mara ya kwanza naona kwa watumishi wa serikali mtu anapokea kiinua mgongo then nothing an vitu anavyofanya utacheka mwisho wa siku anashtukia hana hata 100.
 
90+ na hana hela!!!! Alitakiwa anunue government bonds kama 50M na nyingine ndiyo atambe nazo maana yeye hajawahi kufanya biashara. Sasa hivi angekuwa anaishi vizuri tu. Kwa miaka kumi angekula riba ya 11.44 yaani 5,720,000 kwa mwaka na kwa miaka 15 angekula riba ya 13.5 yaani 6,750,000 kwa mwaka. Kwa yeye asiye mfanyabiashara hii ni hela nzuri sana sana. Kwa mfanya biashara akizungusha 50M anaweza akazalisha 20M au 30M. Duh! Pole zake. Wastaafu wengi wanadanganyika kufanya biashara wakati hawajawahi maishani kuifanya. Huwezi kuanza kufanya biashara saa 12 jioni!!!!
 
safii Sana, Government bond, treasury bill, share, fixed deposit, extension, Jenga Karisa /msikiti,chartize otherwise kilio lazima
 
Binafsi hua najiuliza sana yawezekana kutegemwa kuajiliwa au kufanya kazi za kuajiriwa hua zinakua na madhara makubwa sana.

Unakuta asilimia kubwa money management strategies hawana.

Juzi hapa kuna mwalimu alipandishwa kua mratibu wa ELIMU sasa baada ya kustaafu akapewa kama M90+ hivi ajabu sasa.

Yeye akaenda kununulia bajaji USED mbovu inamsumbua kila siku garage sahiii hela hana anauza(vyuma chakavu) maarufu screpa ajàbu nyingine mshauri wake wa fedha ni jamaa ambaye hata hajawahi kumiliki hata baiskeli.

Nataka kujua kwa sababu hii sio mara ya kwanza naona kwa watumishi wa serikali mtu anapokea kiinua mgongo then nothing an vitu anavyofanya utacheka mwisho wa siku anashtukia hana hata 100.
Tazama graph hii utapata majibu

1621492882237.png
 
90+ na hana hela!!!! Alitakiwa anunue government bonds kama 50M na nyingine ndiyo atambe nazo maana yeye hajawahi kufanya biashara. Sasa hivi angekuwa anaishi vizuri tu. Kwa miaka kumi angekula riba ya 11.44 yaani 5,720,000 kwa mwaka na kwa miaka 15 angekula riba ya 13.5 yaani 6,750,000 kwa mwaka. Kwa yeye asiye mfanyabiashara hii ni hela nzuri sana sana. Kwa mfanya biashara akizungusha 50M anaweza akazalisha 20M au 30M. Duh! Pole zake. Wastaafu wengi wanadanganyika kufanya biashara wakati hawajawahi maishani kuifanya. Huwezi kuanza kufanya biashara saa 12 jioni!!!!
Hii itanisaidia mimi mstaafu.
 
...Mkuu, mzee wa Kikombe alianza yake Saa Moja usiku na nchi nzima mkamiminika kwenda kunywa kikombe Chake!!....!!!... Haina formula!
 
Kwel unayoyasema,wengi wanarud kuwa masikin,na pona pona yao ni kale ka nusu mshahara kila mwez

Easy go easy come,alietunga huu msemo alkuwa sahihi sana
 
Kupata pesa ni kitu kingine na kuzizalisha ziongezeke ni issue nyingine pia,na kuzifanya pesa ziendelee kubaki na ww ndio mziki wa CD 7000
 
Mimi mwenye nimeshaanza kujiegesha kwa mzee mmoja anakaribia kustaafu,ili nimfundishe matumizi ya pesa nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom