Hawa wajinga wa ki nigeria bado wanawaibia watu? Wameniletea hii (419)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
Hawa ni Wezi wa kimataifa Bado watu hawaja wastukia tu? Wa Nigeria wameniletea Barua yao hii kwenye Email yangu jamani kuweni Waangalifu sana na hawa Wezi wa kutumia internet Scam hebu someni hii barua:

FROM THE DESK OF: MR SALIF ZONGO.
AUDITS & ACCOUNTS DEPT
AFRICAN DEVELOPMENT BANK (A.D.B)
Ouagaduoguo Burkina Faso.
Private Phone Number +226 79 82 58 68
E-MAIL:mrsalifzongo@voila.fr

Attention: Please

I am Mr Salif Zongo. the manager Audit & Accounts dept. in the african developmnet bank Burkina Faso (ADB). I am writing to request your assistance to transfer the sum of $10.500.000.00 (Ten million, five hundred thousand United States dollars) into your accounts.The above sum belongs to our deceased customer late Mr Jose D. Sau from Peru who died along with his entire family in the Benin plane crash 2003 and since then the fund has been in a suspense account.

After my further investigation, I discovered that Mr Jose D. Sau died with his next of kin and according to the laws and constitution guiding this banking institution stated that after the expiration of (10) Ten years, if no body or person comes for the claim as the next of kin, the fund will be channel into national treasury as unclaimed fund. Because of the static of this transaction I want you to stand as the next of kin so that our bank will accord you the recognition and have the fund transfer to your account.

The total sum will be shared as follows: 60% for me, 40% for you and expenses incidental occur during the transfer will be incur by both of us.

The transfer is risk free on both sides hence you are going to follow my instruction till the fund transfer to your account.
More details information with the text of application form will be forwarded to you to breakdown explaining comprehensively what require of you.

Your Full Name.............................
Your Sex..................................
Your Age..................
Your Country...........
Passport / driving license.......
Marital Status...........
Your Occupation.......
Your Personal Mobile Number................
Your Personal Fax Number.....................

Thanks
Mr Salif Zongo
+226 79 82 58 68

Nigeria - The 419 Coalition Website
419scam4.gif

Bonyeza hapa Nigeria - The 419 Coalition WebsiteNigerian scam - Wikipedia, the free encyclopedia
 
usidanganyike kaka...hakuna mnaigeria hapo. Hao ni wezi tu wa mtandaoni, wengine watakuambia wao wakimbizi, wengine mapadre. Mpaka namba za simu. Usitoe namba yako wala jinalako. Kama umefungua attachment yoyote ya picha scan pc yako na badili password fasta
 
usidanganyike kaka...hakuna mnaigeria hapo. Hao ni wezi tu wa mtandaoni, wengine watakuambia wao wakimbizi, wengine mapadre. Mpaka namba za simu. Usitoe namba yako wala jinalako. Kama umefungua attachment yoyote ya picha scan pc yako na badili password fasta
Wajinga hawa Watu wa West Africa watawaibiwa wajinga wenziwao sio mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa, asante Mkuu Donn
 
Last edited by a moderator:
usidanganyike kaka...hakuna mnaigeria hapo. Hao ni wezi tu wa mtandaoni, wengine watakuambia wao wakimbizi, wengine mapadre. Mpaka namba za simu. Usitoe namba yako wala jinalako. Kama umefungua attachment yoyote ya picha scan pc yako na badili password fasta[/QUOTE

Umeona ee mimi nilipata mmoja eti mkimbizi. Ila nilimkamata padogo sana. Alisema amevutiwa sana na profile yangu facebook so anataka kuwa rafiki but nimtumie email via email yake. Nikatengeneza email isiyo na jina langu nikamtumia. Baada ya kuimeiliana kwa muda nikimenjoy, ndoa akaja na sound eti ana hela nyingi saana, ameachiwa na baba yake ambaye alikufa kwenye mapigano pamoja na familia yake yote, so amebaki alone. Anachohitaji ni mtu wa kmsaidia kuzitoa kwenye acc na amenichagua mm
Akatuma details za ma account na watu wa kuwasiliana nao. Km sio mjanja unaweza ukapagawa. Nikarudi facebook nikamtafuta nikakauta ana account 6, tatu kaweka picha, 3 hamna picha na hata details tofauti. Nikam email na kumuuliza maswali mengi na nikamwambia akinijibu nikaridhika nitaprocess kila kitu km alivyonielekeza. Hakurudi tena hadi leo,
Aliniomba picha, email adress, namba ya simu.
Wezi sana.
 
hawa jamaa kweli wajasiria mali , kazi kwetu

TAMAA MBELE_______________________________________

unajaza uki refer na elimu ya darasa la tatu , enzi za methali methali . Have nice time
 
mi kuna mmjoa aliniomba acc ili anihamishie midolari, mi nikamwambia anitumie tu dola 40 kwa western union niweze kufungua acc alaf ndo nimtumie, hadi leo hajawahi kuonekana
 
kwani tapeli ni mjinga?

akili mkononi, inasikitisha lakini kuwa bado wengi wanadanganyika na ndio maisha.

naamini binsdamu hiyo ya kuzuia kudanganyika ni ngumu kwa kutokana na ni nini...
 
Mkuu mbona hiyo inaonekana wazi kwamba it is "TOO GOOD TO BE TRUE" mtu hata kama ni jamaa/rafiki wako wa karibu hawezi kusema kitu cha namna hiyo. Cha kushangaza %tage kubwa inayo wekwa kwenye mkenge na watu hawa wa West Africa na mama wa Kizungu - sijuhi kwa nini udanganywa kirahisi hivyo, ukiwasikiliza wananavyo lalamika unashikwa na butwaa!

Mkuu barua zao zote mtililiko wake unakuwa huo huo wanachobadirisha ni majina na events, mambo mengi wanayo zungumza ni kutaka kukuchota akili tu. Wanacho tafuta pale ni account yako ya benki (wachunguze kama kuna hela alafu watafute mbinu za kuziondoa wakati mwingine wanashirikiana na wafanya kazi wa benki), passport/driving license (wanacho tafuta hapo ni picha yako waitumie kwenye uharifu) Mambo ya kukuhuliza: Marital Status, Occupation, Sex, Age and what have you - hiyo yote ni geresha tu za kukuchota kisaikolojia uingie kwenye mtego. Chunga sana.
 
mimi hizo ishu nimekutana nazo zaidi ya mara 7Kwa mwaka huu tu. Yaani wanakeraa.

Ila cha msingi kama una ubuntu una wajibu kwa kuwapa matumaini alafu una mwambia afungue attachment (virus) ambayo utaattach virus wa kutosha tu...
 
Nilikuwa nadhani wa-Nigeria ni wajanja kuliko sisi, kumbe hamna kitu. They don't think out of the box. Hizi correspondence za aina hii mimi nimeanza kukutana nazo kwenye e mail yangu miaka mingi sana. Still mpaka leo bado wanatumia mbinu hizo hizo, ina maana hawajagundua mbinu nyingine m'badala zaidi zaidi ya internet scam. Jamaa hawana issue kabisa waacheni wahangaike, washamba hao...
 
Nilikuwa nadhani wa-Nigeria ni wajanja kuliko sisi, kumbe hamna kitu. They don't think out of the box. Hizi correspondence za aina hii mimi nimeanza kukutana nazo kwenye e mail yangu miaka mingi sana. Still mpaka leo bado wanatumia mbinu hizo hizo, ina maana hawajagundua mbinu nyingine m'badala zaidi zaidi ya internet scam. Jamaa hawana issue kabisa waacheni wahangaike, washamba hao...

Yah upo sahihi huwa wanaiga vitu vya wenzao vya zamani then wanapractise real hacker huwa anagundua vitu vyake mwenyewe kwa ajili ya kuhack na sio software za kudownload na kuspam email za watu.

Walichotuzidi nigeria ni uwingi na watu then wana moyo wa kutokata tamaa na hii ni kutokana na competition ya maisha
 
Senegal kuna kirusi kimoja chaitwa SYLIVIA KONEH kimenitesa sana na email hizo. Eti kinaishi kwene kambi ya wakimbizi hawarusiwi kutoka, babake aliacha pesa nyng yeye alkua mtoto pekee, urithi benki itampa yeye mi nimtumie a/c, na details zng zote ili pesa niichkulie huku, nimnunulie nyumba na kilakitu, zingine tamtumia nauli atoroke huko ktk camp. Ilifkia nikamuamini jins alvokua akinijib, nilimpa wiki 1 nishughlikie mambo ya a/c bank na vyote vinavohtajika. Hapo ndo nilipompoteza, sasa Labda Alipoona nafungua mpya akajua haitakua na pesa, hadi leo kimya natuma mails hazjibiwi
 
Senegal kuna kirusi kimoja chaitwa SYLIVIA KONEH kimenitesa sana na email hizo. Eti kinaishi kwene kambi ya wakimbizi hawarusiwi kutoka, babake aliacha pesa nyng yeye alkua mtoto pekee, urithi benki itampa yeye mi nimtumie a/c, na details zng zote ili pesa niichkulie huku, nimnunulie nyumba na kilakitu, zingine tamtumia nauli atoroke huko ktk camp. Ilifkia nikamuamini jins alvokua akinijib, nilimpa wiki 1 nishughlikie mambo ya a/c bank na vyote vinavohtajika. Hapo ndo nilipompoteza, sasa Labda Alipoona nafungua mpya akajua haitakua na pesa, hadi leo kimya natuma mails hazjibiwi

huyo mzushi wa senegal hata mimi nimeshakutana nae, huwa ananipa story kama yako, huwa nikimchunia anakuja kwa jina lingine ila habadilishi story.
 
Back
Top Bottom