Hawa WABUNGE WETU NA TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa WABUNGE WETU NA TBC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Apr 7, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Kuna matukio mengi ambayo yanayotokea yenye maslahi kwa umma wa walipakodi wa nchi hii,hasa kipindi hiki cha mchakato wa mabadiliko ya katiba.na TBC ilipaswa kuonyesha live.Lakini badala yake chombo hiki cha walipakodi kinatumika kwa maslahi ya watawala kwa kuweka vipindi vya ki-kampeni zaidi..je hili WABUNGE WETU HAWALIONI............????
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, TBC inakoelekea sio kuzuri; hivi sasa inaelekea watu makini wamekwishaanza kususia katika kushiki kwenye baadhi ya vipindi vyao, inaishia kuwashirikisha vilaza tu. Jambo la kuzingatia ni kwamba watanzania sio wajinga, wakishangamua kuwa TBC inaendeshwa kama chombo cho propaganda watakisusia
   
Loading...