Hawa Waarabu waliomwaga mbegu maeneo haya Week hii naenda kwao kulipiza

Wadau.sijui ni mimi tu au na nyie mme observe. Dada zetu wa Kibongo ni wakarimu toka miaka ya nyuma sana.hata kwa wageni wakija Bongo huwa wana enjoy sana.

Ukipita Ilala,Temeke,Magomeni,Mwananyamala,Kinondoni etc utakuta vitoto,vijana na wazee wenye mbegu za kiarabu. Baba zao wengi hawapo nao nchini.

Ukienda Zanzibar,Tanga, Tabora nako machotara wakiarabu wapo wengi sana.hii inaonesha watanzania na waarabu hatubaguani kabisa.

Week hii nina safari ya kwenda nchi kadhaa za kiarabu. Nami naenda kuacha mbegu huko.na ule uwekaji chata "Gudume Kapita Hapa" kama kawaida sitasahau kuzungusha signature yangu.

Styles zote ambazo wana JF huwa mnatufundisha sisi wengine ndo wakati wake wa kwenda zitumia huko Ughaibuni. Ni wakati nasi kuanza kuwekeza nje. Nadhani Zero IQ naye atakuja kupata fursa adhimu kama hii.

Rais anasema nchi yetu itakuwa donor country.nami naona fursa kama hizi za kuwekeza kwa mabint wa kiarabu.

Tuombeane kheri sisi sote ni kitu kimoja.nikifanikiwa mimi nanyi watanzania wenzangu mtapata sifa si peke yngu tu.naenda wakilisha Taifa.

Asanteni sana .
Njoo nikupe bendera ya Taifa ukatuwakilishe vyema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe mwepesi kukumbuka Styles zote unapofanikiwa kupata mtoto wa kiarabu.

Tunakutakia shabaha njema kwa kila mwanamke.
Na wakati wa kurudi, maandamano ya mapokezi tutayaanzia Airport hadi ofisi zetu za Chama Cha Mabaharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitowaangusja. Na nitawasimulia stories za huku.

Uwe mwepesi kukumbuka Styles zote unapofanikiwa kupata mtoto wa kiarabu.

Tunakutakia shabaha njema kwa kila mwanamke.
Na wakati wa kurudi, maandamano ya mapokezi tutayaanzia Airport hadi ofisi zetu za Chama Cha Mabaharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeziandika kwenye ki note book. Nahakikisha mapigo yote watoto wa kiarabu wanayapata.

Back
Top Bottom